Mtu yeyote timamu, kamwe hawezi kuabudu mwanadamu mwenzake. Kinachoendelea nchini ni kufuru na ibada ya sanamu, ambayo, wahusika lazima watatoa hesabu yake siku ikifika kwa Mungu, Muumba wa nchi na wanadamu.
Ukisoma michango ya baadhi ya wachangiaji, mara moja utabaini tatizo kubwa katika jamii yetu: uduni wa maarifa ya na stadi za maisha miongoni mwa wengi wetu; na udhaifu katika stadi za mawasiliano hasa kwa njia za maandishi. Hoja iliyoletwa ni nzito na kwa kweli inahitaji akili zilizotulia...
Ndugu Nondo, ninaheshimu na kutambua jitihada na umahiri wako katika kuibua na kusimamia masuala yenye maslahi ya umma.
Ni kama unataka kusema kuwa kauli ya Jana usiku ya Bodi ya Mikopo imetokana na hoja zenu, ACT, pekee hasa ile mliyotoa Jana?
Ni dhahiri una lengo na hoja nzuri; lakini...
Hayo mambo yaliyoorodheshwa kama 'mafanikio' hayahusiani kabisa na ubadhirifu wa mali za umma ulioibuliwa na CAG. Kuna tishio kubwa la kiwango duni cha kufikiri na kujenga hoja zinazoeleweka.
Ndugu Rais amefanya uamuzi sahihi na wa wakati kumrejesha mbobezi Dr. James Mataragio TPDC. Chini ya Dr. Mataragio, sekta muhimu ya Petroli, mafuta na gesi ipo mikono salama.
Serikali iendelee kupokea maoni kutoka kwa raia wake, kwa maana, hakuna mwenye haki miliki ya ukweli.
Mungu ibariki...
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika [sana], kifo cha Pastor Abel hakijatokana na COVID 19 au udhaifu katika mifumo ya upumuaji.
Waungwana hujitenga na uongo na waongo. Tujisahihishe.
Kutoka kwa Waziri, watazamaji wamepata ufafanuzi wa kina wa masuala muhimu yanayohusu uhuru na haki ya taarifa na sekta ya habari na mawasiliano kwa ujumla. Taarifa sahihi na kamili ni nyenzo muhimu kwa wachambuzi na wadau wa siasa na habari. Ni matarajio ya wengi kwamba Waziri atapata fursa...
(a) Unaelewa kwamba hapakuwa na bado hakuna lengo la kuihusisha Dini ya Mtume Mohammad ( S. A.W) kwenye majadiliano?
(b) Unaelewa pia kwamba matendo na maamuzi yake ndiyo msingi wa majadiliano husika?
(c) Unaelewa athari za muda mfupi na mrefu kufanya mijadala ya masuala muhimu ya kitaifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.