Search results

  1. FortJeasus

    Kiwango cha juu kabisa cha uovu wa mwanadamu ni kumtukuza na kumwabudu mwanadamu mwenzake

    Mtu yeyote timamu, kamwe hawezi kuabudu mwanadamu mwenzake. Kinachoendelea nchini ni kufuru na ibada ya sanamu, ambayo, wahusika lazima watatoa hesabu yake siku ikifika kwa Mungu, Muumba wa nchi na wanadamu.
  2. FortJeasus

    TANZIA Mchumi Mkongwe wa Elimu Profesa Teddy Maliyamkono, amefariki dunia

    Miaka ya 1990, aliandika kitabu bora cha "Who votes in Tanzania and Why?''.
  3. FortJeasus

    Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kwa aina ya uandishi wa tamko, ni vigumu kuamini kama limeandaliwa na wanazuoni.
  4. FortJeasus

    Tanzania kujenga chuo kipya cha TEHAMA Dodoma

    [1] Curriculum -- mtaala. [2] Syllabus -- Muhstasari wa somo.
  5. FortJeasus

    Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Ukisoma michango ya baadhi ya wachangiaji, mara moja utabaini tatizo kubwa katika jamii yetu: uduni wa maarifa ya na stadi za maisha miongoni mwa wengi wetu; na udhaifu katika stadi za mawasiliano hasa kwa njia za maandishi. Hoja iliyoletwa ni nzito na kwa kweli inahitaji akili zilizotulia...
  6. FortJeasus

    Kufutwa kwa tozo ya VRF 6% kuwe sambamba na kufuta Deni lilotokana na tozo hiyo

    Ndugu Nondo, ninaheshimu na kutambua jitihada na umahiri wako katika kuibua na kusimamia masuala yenye maslahi ya umma. Ni kama unataka kusema kuwa kauli ya Jana usiku ya Bodi ya Mikopo imetokana na hoja zenu, ACT, pekee hasa ile mliyotoa Jana? Ni dhahiri una lengo na hoja nzuri; lakini...
  7. FortJeasus

    Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Hayo mambo yaliyoorodheshwa kama 'mafanikio' hayahusiani kabisa na ubadhirifu wa mali za umma ulioibuliwa na CAG. Kuna tishio kubwa la kiwango duni cha kufikiri na kujenga hoja zinazoeleweka.
  8. FortJeasus

    Rais afanya teuzi za Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

    Ndugu Rais amefanya uamuzi sahihi na wa wakati kumrejesha mbobezi Dr. James Mataragio TPDC. Chini ya Dr. Mataragio, sekta muhimu ya Petroli, mafuta na gesi ipo mikono salama. Serikali iendelee kupokea maoni kutoka kwa raia wake, kwa maana, hakuna mwenye haki miliki ya ukweli. Mungu ibariki...
  9. FortJeasus

    Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

    Nimewasikiliza; kwa kweli nimevutiwa na jinsi wanavyoimudu lugha ya Kiingereza. Pongezi nyingi kwa hao Watanzania wenzetu.
  10. FortJeasus

    TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

    Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika [sana], kifo cha Pastor Abel hakijatokana na COVID 19 au udhaifu katika mifumo ya upumuaji. Waungwana hujitenga na uongo na waongo. Tujisahihishe.
  11. FortJeasus

    Mzee Mremi wa Dar express binti yako uliyemuweka pale Shekilango anakimbiza wateja

    Tahmeed ni watu wema, waungwana sana. Wanaheshimu na kujali wateja. Ninawahaheshimu sana.
  12. FortJeasus

    Live on Star TV, Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia changamoto za Corona Sekta ya Habari

    Kutoka kwa Waziri, watazamaji wamepata ufafanuzi wa kina wa masuala muhimu yanayohusu uhuru na haki ya taarifa na sekta ya habari na mawasiliano kwa ujumla. Taarifa sahihi na kamili ni nyenzo muhimu kwa wachambuzi na wadau wa siasa na habari. Ni matarajio ya wengi kwamba Waziri atapata fursa...
  13. FortJeasus

    Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

    (a) Unaelewa kwamba hapakuwa na bado hakuna lengo la kuihusisha Dini ya Mtume Mohammad ( S. A.W) kwenye majadiliano? (b) Unaelewa pia kwamba matendo na maamuzi yake ndiyo msingi wa majadiliano husika? (c) Unaelewa athari za muda mfupi na mrefu kufanya mijadala ya masuala muhimu ya kitaifa kwa...
  14. FortJeasus

    Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Mifano yako ya kuokoteza inadhihirisha wewe ni mtu wa aina gani.Tuishie hapo.
  15. FortJeasus

    Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Unaweza kusoma michango bora, kutoka kwa wanachama wengine, inayobainisha namna hoja za wapinzani, wanaharakati na asasi za kiraia zinavyoweza kufanya hivyo. Hili si suala la kufanya mzaha, wala si muafaka kulitumia kwa maslahi finyu ya kisiasa na serikali imekataa kushiriki kufanya mizaha...
  16. FortJeasus

    Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Hoja yangu haikuwa hiyo uliyoileta wewe. Badala yake, mzizi wa hoja yangu ulikuwa katika itifaki; huyo kiongozi wa ACT halingani kihadhi na Katibu Mkuu. Hoja za kijana wa ACT zingeweza kujibiwa na kiongozi wa UVCCM anayeuelewa vizuri msimamo wa serikali au raia huru yeyote anayeweza kutoa hoja...
  17. FortJeasus

    Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Tofauti na wewe, kwangu mimi, mtumishi wa Umma anayehudumu kama Katibu Mkuu, kwa kutambua mamlaka na nguvu zinazotokana na wajibu na majukumu yake, siwezi kumwona kama mtu wa kawaida.
  18. FortJeasus

    Maria Sarungi: Mkopo wa WB wa elimu una masharti ya mtoto lazima arudi shule baada ya kujifungua, si Ombi ni lazima. Serikali kwanini inaficha ukweli?

    Kufikiri kwamba uliyemtaja angeweza kugombea uraisi, ni moja ya makosa makubwa uliyopata kufanya. Bila shaka umekwisha jisamehe.
  19. FortJeasus

    Maria Sarungi: Mkopo wa WB wa elimu una masharti ya mtoto lazima arudi shule baada ya kujifungua, si Ombi ni lazima. Serikali kwanini inaficha ukweli?

    Hawa wanaharakati wetu wanajichanganya mno kihoja kiasi cha kutilia shaka uelewa na ufahamu wao.
Back
Top Bottom