Recent content by first-man

  1. F

    Uongozi wa Rais Samia umeleta matumaini katika maisha ya Watanzania

    Hivi unajua hao unaowaandikia ni Watanzania na ndo hao hao wananchi ambao wanazijua changamoto zinazowakumba kwenye jamii.Jaribu kufwatilia maandiko yako uone kuwa Watanzania wengi wanakubaliana na sifa unazotoa kwa uongozi huu ama la. Kiuhalisia ni kwamba Watanzania ambao ndo wananchi wenyewe...
  2. F

    Kujitolea/ kazi nina Diploma ya Mechanical Engineering

    Wakuu habari zenu, mimi ni mhitimu wa kada ya diploma in Mechanical engineering natafuta kazi ama kujitolea. Mimi ni kijana mchapa kazi kwa ambaye anaweza kunisadia tunaweza kuwasiliana. Naomba kuwasilisha na asanteni
  3. F

    Naomba kujuzwa Location/csehem nzuri ya kuweka ofisi ya kuchomelea(welding) Dar au Pwani

    Habari zenu wakuu. Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri mwenyewe kwenye fani hii ya uchomeleaji/welding lakini sina uzoefu ama experience na kazi hii. Nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri wenu ili nipate walau mwanga kutoka kwenu ili nijue naanzia wapi. Naamini Ushauri wenu na mapendekezo...
Back
Top Bottom