Recent content by fikramoto

  1. F

    Hamkani Si Shwari Tena Moravian Church Mwananyamala

    Mgogoro wa kanisa la Moravian nchini unasababishwa na mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni kada wa CCM anayeitwa YONAH SONELO. Tusioneane aibu hapa, huyu bwana ndiye chanzo kikuu cha migogoro yote ya makanisa ya Moravian nchini, hata serikali inalijua sana hili.. Anatumia pesa zake...
  2. F

    She is beautiful, highly educated and paid but lonely! Why?

    angalieni hapo chini kawawekea tafsiri yake
  3. F

    Ni faida au hasara kama mwanafunzi watalipa nauli za wakubwa kwenye daladala?

    Endapo wanafunzi watalipa nauli za wakubwa kwenye dala-dala, mojawapo ya faida ni kwamba: HAWATA ACHWA KABISA VITUONI NA USAFIRI WAO UTAKUWA NI WA UHAKIKA. Je upande wa HASARA ni nini? Kama itaonekana faida ni kubwa kuliko hasara nashauri Serikali itangaze nauli moja kwa wote bila kujali...
  4. F

    Apson Mwang'onda na Timu yake waelekea Arusha kuratibu Mkutano wa Lowassa

    unajua nyerere alipostaafu uenyekiti ccm na busara nayo ilistaafu ndani ya ccm ...... Sasa kasheshe kila mtu anacheza anavyotaka
  5. F

    Hivi tbc tu ndio hutoa habari muhimu za kitaifa mpaka tulazimizwe kuangalia?

    Nadhani serilkali ina mpango wa kuturudisha kwenye enzi za mwalimu ambapo habari zote zili-edit-iwa kwanza kabla ya kurushwa hewani. Enzi hiyo hakukuwa na taarifa zozote zinazo toa kasoro utendaji wa serikali, bali zilitoa misifa tu hata penye mapungufu. Ndiyo maana hadi leo wapo wanao amini...
Back
Top Bottom