Recent content by Feedback

  1. Feedback

    Rais Kagame wa Rwanda alishinikizwa kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa akatii, Je, Rais Magufuli atatii?

    Septemba 15, 2018 Rwanda iliwaachia huru wapinzani zaidi ya 2,000, miongoni mwa walioachiwa huru ni pamoja na Victoire Ingabire Umuhoza, Kiongozi wa Chama Cha FDU aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 15, alikuwa jela tangu 2010 kwa makosa ya uhaini. Wiki kadhaa baada ya Victoire kuachiwa...
  2. Feedback

    Serikali inashindwa kucheza na akili za Mbowe tayari ameshaweka kwenye kona nyingine

    Kesi ya viongozi karibu wote wa CHADEMA ni ya muda mrefu inavuta hisia kali ndani na nje ya nchi hasa kwa vile kati ya walioshitakiwa kuna kiongozi wa upinzani bungeni KUB. Kesi hii inachukuliwa na wengi kama 'litmus test' kwenye utawala wa Magufuli, hukumu ya kesi hii isipotolewa kwa umakini...
  3. Feedback

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Kesi ya viongozi karibu wote wa CHADEMA ni ya muda mrefu inavuta hisia kali ndani na nje ya nchi hasa kwa vile kati ya walioshitakiwa kuna kiongozi wa upinzani bungeni KUB. Kesi hii inachukuliwa na wengi kama 'litmus test' kwenye utawala wa Magufuli, hukumu ya kesi hii isipotolewa kwa umakini...
  4. Feedback

    KUB kupangua Baraza Kivuli la Mawaziri, Zitto kuwemo?

    Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe anatarajiwa kubadilisha baraza lake na kuingiza sura mpya. Sababu ya mabadiliko hayo ni kutokana na wizara kuongezeka kutoka 18 hadi 21. Tofauti na baraza lilopita lililohusisha wabunge kutoka vyama vya NCCR, CUF na CHADEMA...
  5. Feedback

    WanaCCM acheni fitina, Freeman Mbowe ni mtaji mkubwa kwa CCM!

    MsemajiUkweli Tuliwaambia Mbowe ni kisiki baada ya kuona mbinu na propaganda za kutaka asiwe mwenyekiti Chadema ku feli mmekuja kwa staili ya kumpongeza mimi naona ni sawa na kusema sizitaki mbichi hizi. Ni mwana CCM mwendawazimu tu atakayedai Mbowe anaisaidia CCM, Mbowe huyu huyu aliyechukua...
  6. Feedback

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Post yako hii chini, sie wengine tupo huru kuhusishwa na chama chochote hata cha mafisadi CCM hahahaaa.
  7. Feedback

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Unashauri wananchi wafanye nini zaidi ya kupiga kura, na hii ndio hoja yangu ya msingi.
  8. Feedback

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Mkuu ungejadili bila kumlazimisha mtu itikadi ingependeza sana. Chadema ilibugi ilipokubali kumpokea EL ikapoteza uhodhi wa sera yake ya ufisadi, CCM wakachukua advantage ila kwa sasa CCM nao wamepunguzwa nguvu na ufisadi wa 1.5t kujitetea imekuwa ngumu.
  9. Feedback

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Mbowe hana njaa ya aina hiyo ana biashara zake tangu zamani. Hizo pesa sijui za wajerumani hazina nafasi kwangu kwa sababu hazina facts kama 1.5 ya CAG.
  10. Feedback

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Siyo kwamba watu hawawaelewi watu wameshaelewa na wanawapigia kura wapinzani, problem ni kuwa mgombea mmoja ndiye anayehesabu kura what do you expect, dawa ni kufikiri zaidi ya kupigiwa kura.
  11. Feedback

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Hiyo ni kukata tamaa tusifike huko tutaumia zaidi ya hapa, kinachotakiwa ni wao kuja na strategies mpya kama ni vote hacking let them do kama ni ku groom watu ndani ya CCM yenyewe na kuifanya igawanyike sawa au ndani ya gov machinery acha wawaingize watu wao, nafikiri unanielewa. Hata la...
  12. Feedback

    Maadui wa CCM wanatengenezwa na wanaCCM wenyewe

    Usiseme kiujumla hebu onyesha unafiki uko wapi kwenye mada ili twende pamoja.
  13. Feedback

    Maadui wa CCM wanatengenezwa na wanaCCM wenyewe

    Siku hizi habari zinasambaa kwa haraka sana hazina cha mjini wala kijijini, mfano wa Waraka wa kanisa ulisomwa siku moja kwenye makanisa yote Tanzania nzima.
  14. Feedback

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Asante mkuu kwa kunielewa na kuwaelimisha wengine niliposema 'inatosha', wengi walidhani nawaambia wapinzani waache kupigania haki zao.
  15. Feedback

    Maadui wa CCM wanatengenezwa na wanaCCM wenyewe

    Sikushangai kwa vile unacho-urgue tayari nimekizingatia kwenye mada yangu, kuwa yeyote anayetoa ushauri kwenu ni mpinzani au hakitakii mema chama.
Back
Top Bottom