Recent content by explicity

  1. explicity

    Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

    Hapana awajafungiwa ukiachana na hao kuna shaa pia
  2. explicity

    Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

    Unapenda wali nyama kuna mwingine wa maharage aumwambiii kitu mkuu
  3. explicity

    Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

    Ingekua vipi watu wote wangekua wanene ungemtania nani mwembamba??(nimekumbuka ingekua vipi ya Mwana Fa na jay Mo)
  4. explicity

    Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

    Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana boyfriend. Vanessa ameiambia Bongo5 sababu ya kufanya hivyo licha ya kujulikana wazi kuwa ana uhusiano na Jux. “Always nikiwa kwenye interview napenda...
  5. explicity

    Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

    Anza na namba izo kaka.mi nimeamua kuileta tu humu ila sihusiki na chochote.
  6. explicity

    Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

    Ndio nilichojaribu kufanya kuonesha sapoti tu.zaidi ya apo sina uhusika wowote labda uzalendo kama wewe kuhusu link io habari nimecopy kama ilivo ila ikirekebishwa iko sawa.
  7. explicity

    Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

    Ndio nilichojaribu kufanya .sina uhuaika popote kwenye mtandao huo
  8. explicity

    Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

    Bro nimejaribu tu kusapoti cha nyumbani sina uhusika wowote apo ila natamani jamaa azione feed back zenu.
  9. explicity

    Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

    *_TANZANIA JOIN 2DAYSKY_* Hii ni Kampeni Maalumu ya kumsapoti mwanafunzi wa *_UDOM_* anaeitwa Elisha William anayesoma *College of Informatics*ambaye amefanikiwa kutengeneza mtandao wa mawasiliano wa *_2daySky_* ambao unafanya Kazi kwa ufanisi zaidi ya *Facebook*. Kabla ya kuanza kuutangaza...
Back
Top Bottom