Recent content by Estyzo

  1. E

    Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

    naomba nikubaliane na wewe , nishamlaga mmoja mwaka juzi.
  2. E

    Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information

    inawezekana kuanzia wife moaka mchepuko nawa spy kwa whatsapp web nao hawanui vitu kama walivyo wanawake wengine.
  3. E

    Kidonda kwenye kichwa cha uume

    Haina shida mkuu
  4. E

    Kidonda kwenye kichwa cha uume

    hii mashine sio kibamia jaman ni majanga yaliyonikuta mpaka pumbu zimenywea na amini nikijaliwa nitarudi mzigoni kuchakata papuchi kwa umakiini mkubwa.
  5. E

    Kidonda kwenye kichwa cha uume

    Mkuu shultan umenipa ujasiri hii dawa nilinunua mchana kwa kugoogle tu naona na ww umenipa uhakika zaidi?
  6. E

    Kidonda kwenye kichwa cha uume

    Hamna maumivu ndio kinaongezeka mfano hapo kiliongezeka baada ya kukutana na mchumba wangu ila baada ya sili kinabakia kwa ndani kidogo mpaka ufunue ndio utakiona.
  7. E

    Kidonda kwenye kichwa cha uume

    Salaam wa mwezi sasa kimetokea kidonda kwenye njia ya uume pale uwazi, kidonda hiki hakiumi nilienda fanya urine culture na UTI hawajaona tatizo pamoja na blood culture hawanaona tatizo niliambiwa damu safi kabisa na mkojo hakuna mdudu aliyeota. Samahani kwa pocha kama itawasumbua. Naombeni...
  8. E

    Mac book pro inauzwa

    4-5+ hrs kwa kwa light duties. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    Mac book pro inauzwa

    Mkuu umeshuka sana nikiuza ssd na adapter napata 350k. Apo bado kompyuta ninabaki nayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    Mac book pro inauzwa

    nimekupata mkuu ila mimi niliagiza aliexpress sina ambazo zipo tayari mkononi.
  11. E

    Mac book pro inauzwa

    faida nyingne ya ssd laptop inatumia umeme kidogo kwakuwa ssd haina mechanical parts zinazozunguka kama hdd pia usomaji na uandikaji wa taarifa kwenye memory uko fasta hivo kompyuta inamaliza task mapema sana.
  12. E

    Mac book pro inauzwa

    shukrani, haina maslahi mkuu.
  13. E

    Mac book pro inauzwa

    welcome.
  14. E

    Mac book pro inauzwa

    mkuu unatumia kigezo gani kufananisha ssd na hdd
  15. E

    Mac book pro inauzwa

    850k mkuu karibu sana Jembekillo Troll JF Pancras Suday Bahati furaha Behaviourist , hii mac nilinunua mwaka jana ikiwa na 500gb HDD ila nikareplace SSD, SSD ina speed kubwa sana ukifananisha na HDD bahati nzuri zote zipo ukitaka 500GB HDD nakupa tu uende nayo ila utajua tofauti yake kwenye...
Back
Top Bottom