Recent content by emmanuel katamba

  1. emmanuel katamba

    JWTZ yaishindwa makongo high school...

    KATIKA KIKAO NA C.O.T. (chief of trainning)TULISEMA KUWA IWAPO MAJOR KAKUMBI ATAENDELEA KUWA MSARIFU WA SHULE HAKUNA HEAD MASTER ATAKAYE WEZA KUIOKOA SHULE YA MAKONGO KUFA KWA KUWA AFISA HUYU ANATUMIA FEDHA KUWAPUMBAZA WATU AMBAO WANGEMCHUKULIA HATUA. HIVYO HEADMASTER YEYOTE AKIENDA TOFAUTI NA...
  2. emmanuel katamba

    JWTZ yaishindwa makongo high school...

    HAKIKA UONGOZI WA JESHI UNATAKIWA KULAUMIWA KWA KILA LINALOTOKEA KWA SASA HAPO MAKONGO KWA KUWA NIKIWA MWALIMU HAPO MAKONGO TULIJARIBU KUFIKISHA MALALAMIKO YETU KWA UONGOZI WA JUU WA JESHI NA KUELEZA WAZI UBADHILIFU UNAOENDELEA HAPO SHULENI UNAOFANYWA NA MSARIFU WA SHULE MAJOR KAKUMBI LAKINI...
  3. emmanuel katamba

    Nakumbushia tu: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    Weka jina-emmanuel katamba-pia tunaomba muweke nafasi za uongozi zinazogombewa ili tugombee!
  4. emmanuel katamba

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    vitisho vyenu tumevizoea
  5. emmanuel katamba

    Kiongozi gani anahitajika kuiongoza nchi hii tanzania iliyojaa asali na maziwa?

    KWA KAWAIDA KUNA VIONGOZI WA AINA TATU::flame: 1. NI YULE AMBAYE AMESAIDIWA NA WATU KAMA VILE MATAJIRI, WAFANYABIASHARA AU HATA MAGENGE YA WAHARIFU KUINGIA MADARAKANI. MTU WA AINA HII AKIWA MADARAKANI ATAMTUMIKIA ATAWATUMIKIA HAO WALIOMSAIDIA KUINGIA MADARAKANI. 2. KUNDI LA PILI NI LA YULE...
  6. emmanuel katamba

    Ukioa mwanamke unaempenda sana ni hatari? Wewe unasemaje?

    Katika hali ya kawaida mtu huweza kushangaa hoja hii. Ukweli ni kuwa watu wengi wanafikiri wakioa au kuolewa na watu wanaowapenda sana maisha huwa ya furaha sana lakini wengi wamekuwa wakilazimika kufanya mambo hata nafsi zao hazipendi kwa kuwa tu wanaogopa wampendae atachukia au atamwacha. Ni...
Back
Top Bottom