Recent content by Emma M.

  1. E

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Mkutano huo na wanawake ni hatua nzuri. Mgombea mwenza wa ccm Samia amezungukwa na wanawake kila anako kwenda. Awadharau chadema Rombo
  2. E

    Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hali tete

    UKAWA hawaelewani Vunjo. Hali yA baadae kwa chadema Vunjo kizungumkuti.
  3. E

    Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hali tete

    Nani? KIWELEWELE
  4. E

    Tanzania labour laws

    LOBOR ACT 2004 in Kiswahili please'
  5. E

    Rekodi inaibeba CHADEMA Jimbo la Vunjo 2015

    Tupatieni yanayo jiri Vunjo wakuu. CCM TLP NCCR CHADEMA. Hali halisi?
  6. E

    Rekodi inaibeba CHADEMA Jimbo la Vunjo 2015

    Vunjo hoyeeeee
  7. E

    Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hali tete

    Hivi karibuni CCM ilichukua uongozi wa mji mdogo wa himo hivyo ni ishara kuwa bado wana nguvu. Wamejipanga kwelikweli mkuu
  8. E

    Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hali tete

    kweli Vunjo haikugawanywa
  9. E

    Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

    Orodha hii isambazwe haraka kama vumbi ili tumalize kazi mapema hapo October.
  10. E

    Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

    Hii orodha ni nzuri kwa kumbukumbu ili kumaliza kazi mapema October
  11. E

    Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hali tete

    Hili wazo linashangaza, Eti Vunjo na Mwanga kagawiwa NCCR. Kama kweli itakuwa hivyo ujue kuwa CDM itakuwa inajizika taratibu kwenye majimbo hayo mawili. Kuna makamanda wa CDM wanakubalika sana Vunjo na Mwanga. Iweje NCCR ipewe kama zawadi? Nadhani wewe hufuatilii vizuri siasa za VUNJO na MWANGA...
  12. E

    Kumbe Makongoro anaongea kama baba yake?

    Yetu macho na masikio. Ninachotaka mimi ni kiongozi bora bila kujali anatoka wapi na ana jina gani.
  13. E

    Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hali tete

    Kinana alipokuwa Vunjo.
  14. E

    Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein: Mgombea kufa akitafuta urais 2015

    Hili la kufa likoje lakini? Ni la Mungu au ni la mungu?
Back
Top Bottom