Hili wazo linashangaza,
Eti Vunjo na Mwanga kagawiwa NCCR.
Kama kweli itakuwa hivyo ujue kuwa CDM itakuwa inajizika taratibu kwenye majimbo hayo mawili.
Kuna makamanda wa CDM wanakubalika sana Vunjo na Mwanga.
Iweje NCCR ipewe kama zawadi?
Nadhani wewe hufuatilii vizuri siasa za VUNJO na MWANGA...
Suala si John Mrema tu.
Pamoja na kwamba :
1. kweli john Mrema bado ni maarufu Vunjo, lakini nasikia kuwa tayari kuna wana-CHADEMA wengine wameshatangaza nia Vunjo na wanakubalika na wananchi kuliko hata John Mrema na Mbatia..
2. Pia si vema kufikiri kuwa Agostino Mrema hana wafuasi wengi Vunjo...
Kuna tetesi kuwa Hali Vunjo ni Tete.
1. Huenda jimbo likagawanywa (Vunjo Mashariki na Vunjo Magharibi).
2. Chama chenye nguvu ya watu wengi ni CHADEMA hivyo itategemea hesabu za UKAWA kama zitakuwa za kusoma alama za nyakati.
3. CCM imechukua uongozi mji mdogo wa Himo.Hizi ni salamu za wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.