Recent content by Elpaul

  1. Elpaul

    Anachotafuta Lissu ni kukimbia nchi kama kawaida yake

    Lissu anachokifanya ni kujaribu kuuelimisha Umma, Ili makosa yaliyofanyika yasijirudie, hata kama akikimbia ila Kuna watu watakuwa wamesikia tayari
  2. Elpaul

    Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Huyu ni Mzanzibar mhamiaji
  3. Elpaul

    Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi?

    Endapo maoni haya kwenye Katiba mpya yatafanyiwa kazi, tutakuwa tumepiga hatua.
  4. Elpaul

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aendesha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kidigitali

    Alisharuhusiwa kula kadri ya urefu wa kamba yake, acha afanye kazi. Alisharuhusiwa kula kadri ya urefu wa kamba yake acha afanye kazi.
  5. Elpaul

    Rais Samia ukigusa Katiba Mpya ndio itakuwa kaburi lako la kisiasa

    Kuwa na amani mama yuko makini na ugali wake
  6. Elpaul

    Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Mkuu, kuna Aya moja nimesoma katika hili bandiko ina kipengere kinachogusia mtu mwenye mamalaka anapotaka kufanya maamuzi magumu kuna kitu anatakiwa kuapply, ila umekificha kwa kukiita nanulii, nifungue hapo kwenye nanulii mkuu.
  7. Elpaul

    Hali ya umeme yawa ya matumaini baada ya juhudi za Serikali pamoja na mvua kuanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini

    Mkuu huyu Lucas ana shida kwenye kufikiri, hivyo hata usipohangaika naye
  8. Elpaul

    Kwani Yesu amekuja kuwa maarufu baada ya kuondoka(kifo) na kwanini ukristo makao makuu yake yapo Roma Italy

    Ukristo una madhehebu mengi mkuu, ingawa Kuna doubt papa kuwa mkuu wa makanisa yote ulimwenguni, angalia church union labda unaweza kuambulia chchote, Sina hakika Kama madhehebu yote ya kikrsto makao yake makuu yapo Roma Italy.
  9. Elpaul

    Kwanini Wanaoamini Uwepo wa Mungu, Hukosoa Hoja na Mawazo ya Atheist?

    The home of great thinkers, sumsung, Apple, Nokia, Toyota, Bmw, all of these vina mwanzo na wagunduzi wake, chanzo cha upepo ni pressure mbalimbali chanzo cha prssure ni nini? Chanzo cha bahari, mto na ziwa? Chanzo cha sayari na nyota?, Utaniambia ni nature???? Chanzo cha nature??
  10. Elpaul

    FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

    Mkuu movie ni fasihi andishi, movie hutolewa na msanii.....MSANII ni mtu anayetumia muda wake mwingi kutunga/kubuni kazi ya fasihi ili kufikisha ujumbe kwa hadhira inayokusudiwa.
  11. Elpaul

    FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

    Na yeye akatuibia sisi ambao kila iitwapo leo tunashukuru na kusema Dunia imejizungusha kwenye mhimili wake, Shetani ni mtawala wa Dunia ila pia Kuna Mungu mkuu, ahsante mtoa mada unatufanya tufikirie mengi na ikiwezekana tutoke nje ya box, ingawa Ni ngumu
  12. Elpaul

    FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

    Lakini pia huyu msomi ni wa elimu hii hii ya Dunia, ambayo pia kwa mujibu mleta mada elimu hiyo itatumika kucreate uhai mpya, hivyo mthiology huyo aliyekugusia juu imagination ya pepo na jehunum anatumia elimu hii ya dunia, Ingawa mtawala wa Dunia yuko very creative lakini kuna baadhi ya vitu...
  13. Elpaul

    FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

    Toka itabiriwe ajari ya ndege na ikatokea, akaibuka shujaa mmoja, ukaibuka uchunguzi na taarifa ya uchunguzi ikatolewa kimafumbo mafumbo sasa hivi nyuzi Kama hizi nikiziona Namuomba Mungu azidi kunipa maarifa, maana mfalme wa Dunia keshaamua liwalo na liwe lazima apate wafuasi kwa gharama yoyote.
  14. Elpaul

    Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Pole sana, changamoto ni nyingi sababu ya kuchelewa kulipa mishahara ni nini, hatua gani zinachukuliwa kutatua changamoto, mnapofanya kazi Kuna kitu mnazalisha??
  15. Elpaul

    Qatar world football finale/finalists: religion concepts revealed?

    Mungu atupe nguvu kwakweli mbaya zaidi wakaja na betting hapa ndipo wameteka kadamnasi, tunajua tulipotoka ila tunapokwenda kupajua ni vigumu Mungu aturehem.
Back
Top Bottom