Recent content by eliufive

  1. E

    Computer case deals

    Alliexpress wako vizuri sana ila pc case wameshindwa sjjui kwanini
  2. E

    Computer case deals

    Kuna anaye jua option nzuri yakununua pc casing kwasababu shipping ni expensive kati cases zipo zinauzwa bei poa. Option kama easybuy, myus sema cheaper. China zipo cases nyingi nzuri sana sema sina shipping company ambayo imetulia
  3. E

    Playstation 4 inapatikana wapi moshi?

    Jamani wapi huku moshi naweza kupata ps4?
  4. E

    Kwa vigezo vya PC yangu niweke GPU ya ram ngapi?

    Asante chief. Mashine nzuri hiyo. Sijaona nyingine inakribia hapa bongo ukiachana na custom za watu waliojenga
  5. E

    Kwa vigezo vya PC yangu niweke GPU ya ram ngapi?

    Mzee hiyo pc iko vizuri sana, naomba niulize ulinunua wapi? Yani hapo ukinuua gpu nzuri umemaliza kazi. Cha mwimu cheki Power supply imeandika watts ngapi ujue limitations zako. Pia unaweza kutumia hii app tujue kuhusu motherboard yako, na gpu yako vizuri zaidi HWiNFO, HWiNFO32/64 - Download
  6. E

    Tigo spidi bila kikomo wameiharibu kabisa !

    1.Mwezi Mega(GB20) = Sh30,000 2.Mwezi Bila Kikomo = Sh 20,000 3.Mwezi GB 2 = Sh 15000 Bonyeza '99' kurudi nyuma Aise ina maana ukichagua 2.) Mwezi bila kikomo saivi utapata gb ngapi? Kuna mtu aliye jaaribu? Nahisi saivi ukijiingiza kwenye hiyo option ya pili utakula hasara
  7. E

    Msaada na plasma TV inaonesha chenga

    Msaada na TV yangu, inaonyesha chenga chenga imetumika kama miaka miwilli hivi inasemekana tatizo hili hutokeaga kwenye plasma tv's peke yake. Naomba mtu yoyote anaye elewa hii tatizo atoe ushauri.. nime upload video fupi tuu kuonyesha tatizo lake zaidi. Kama unamjua fundi mzuri wa plasma naomba...
  8. E

    Splinter Cell Blacklist

    Xk3y nimeagiza. kama unataka jtag nafahamu mtu ambaye anafanya kwa job nikupe contact yake. Naomba unitume site unayoitumiaga kwa links kaka
  9. E

    Splinter Cell Blacklist

    Nikijaribu kuvuta iso na zbigz inakataa sijuui kwanini? Dark souls ii nayo imeshatoka. Nimeacha inquiry tuu
  10. E

    Splinter Cell Blacklist

    Ya kwanza ina lt 3.0 flash na xk3y kusudi itumie hdd alafu bado inakua xbox live safe.. and the second ina lt 3.0 only kwaiyo bado inabidi itumie discs
  11. E

    Splinter Cell Blacklist

    Unafanya nini kupata direct links?? Unazilipia?
  12. E

    Splinter Cell Blacklist

    Haha siwezi kaka mwenyewe naazo mbili nafanyia sytem link. Nikipata nyingine nitakushtua..
  13. E

    Splinter Cell Blacklist

    Aise bwana leh upo live? Mimi nipo live sema inakuaga shida kuconnect na watu wengine tz kwajili ya strict nat which navyofahamu ukitumia hizi modem hauwezi kuizunguka bila isp kuitoa. Nina xbox 360 elite LT 3.0 flashed na xk3y chip iso kama 600gb. Kama kuna maujanja ya kuconnect tusaidiane wadau
  14. E

    Where to get Verbatim DL Dvds 8.5gb?

    Aisee kuna mtu yoyote anajua wapi wanapo uza verbatim dl dvd's bongo? Nitafurahi sana nikiweza kuzipata hapa hapa dar es salaam...
Back
Top Bottom