Ndugu habarini za muda huu.
Shida yangu ni moja tuu, ningependa kujua kilimo cha mpunga hususani idadi ya magunia ninayoweza kuvuna katika eka moja, na gharama zake kwa pamoja, na je soko la zao la mpunga kwa sasa hapa Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.