Recent content by DSpecial

  1. DSpecial

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Mkuu unatumia usafiri wa aina gani wewe?
  2. DSpecial

    Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

    Wakuu endeleeni kuchangia basi Thread hiyo, tuendelee kupata burdan....
  3. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Zao kuu la biashara hapa bongo hivi lipi?
  4. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tofauti kubwa ya matabaka haya ni makabila
  5. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtukutu siku zote ni changamoto sana katika jamii
  6. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Refa akiwa mpendeleaji, uwana mzima mashabiki wata leta fujo
  7. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkuu vurugu uanzishe wewe tu ndugu yangu
  8. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Upara tu!!! Hiyo hiyo inaitwa Hikmah, ndio maana wanatunukiwa Bin Adam wachache sana. Vipara ndio hivyo vinavyo tengeneza kwenye masaloon huko
  9. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mambo ya kujifukiza hayo, hata Muheshmiwa Jafo analitambua hilo
  10. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kama sikosei huyu dada si ndio alieimba chura? Si ni kweli?
  11. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Korona!!! Mbongo halisi hadhuriwi na korona, chezea nyungu wewe
  12. DSpecial

    Naomba ufafanuzi kuhusu Ku upgrade Gari kwa kuchongesha kwa mafundi mtaani

    Dah!! Mnatunyanyasa jamani, tuombe radhi ndugu yangu, Watu ndio shida sana hapa duniani, Bin adam hatupo ivyo
  13. DSpecial

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kuukemea vikali wakati hakuna aliyemsafi
  14. DSpecial

    Naomba kujuwa maana ya Neno UGATUZI

    Nilisikia linatumika kwenye vyombo vya habari, lakini hadi sasa nimejitahidi kujuwa maana halisi ya hili neno lakini sikufanikiwa. Lakini nahisi Wazanzibar wanafahamu vizuri maana naona lilitumika sana na viongozi wa Zanzibar
Back
Top Bottom