Recent content by Dr.Flav

  1. D

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    ni email tulizotumia wakati tunaapply loan board? mana kwangu hakuna walichoweka
  2. D

    Tumsaidie mawazo huyu dogo tafadhali!

    Daaah,vp ka ni dadako utafurahi eeeh?!
  3. D

    Msaada:Tarehe ya kufungua MUHIMBILI.

    Kuuliza si ujinga pengine nataka kuwa na uhakika....Lakin pia lugha ya matusi ni dalili ya ustaarabu mdogo, jirudi chalii.
  4. D

    Msaada:Tarehe ya kufungua MUHIMBILI.

    Poa xana mkuu, me ntakuwa school of medicine!!Hope 2tameet.
  5. D

    Msaada:Tarehe ya kufungua MUHIMBILI.

    Wadau naomba kuuliza tarehe ya kufungua kwa First year MUHIMBILI, Kwa anayefahamu atujuze.
  6. D

    Bodi ya mikopo kutangaza Majina ya wanafunzi waliopata mkopo na asilmia zao

    Bado jamani, tuvute subira ila kwa vyovyote September haiishi bila mambo kuwa tayari!
  7. D

    Eti lini ndio hiyo official announcement ya TCU?

    vp tuliokwishaona kupitia Airtel juz kati yanaweza kubadilika?
  8. D

    Nani mbulula?

    Huyo mbea aisee ndo mbururaa, hayamuhusu ila umbea tu dah!!
  9. D

    Nani mjinga zaidi

    Huyo wa pili vp jaman,dah katika mburura huyo naye yumo..!!
Back
Top Bottom