Mistake cannot justify a mistake. Your arguement indicate how General crime theory and Neutralization theory explain your personality. Please democracy does not mean what you ment! Yours resemble the decision taken by Plato to crusify Jesus on the cross because majority decided so!
Tamko hili sio la lowassa na kama ni lake niko na mashaka juu ya lugha nyepesi kwa mambo mazito na sentensi zinazogongana ambazo huibua mashaka na udadisi juu ya uhalisia wake😞😞😞 Though sikuunga mkono uamuzi wake wa hasira lakini nilijua na bado sina mashaka na uwezo...
Propaganda always bring blindness to human thinking!😄😄😄 ICC has nothing to do with what happened in Tanzania😄😄😃😃😄 i think the universities which gives 🎓to our people should be investigated by international academic communities
Kuhitimu shahada ya kwanza si kigezo cha kujitambua! Kama ndo hivyo wizi kwenye utumishi wa umma usingekuwepo😄😄😄😄😄.
Shida nini hasa? Yupo hayupo, what is the logic behind this? CDF is not a political figure this should be clear. The missions he conduct in and out of the country should and must remain confudential. He is not like President whose missions and visits appear in social media! Stop cheap politics
Wakati nchi mbali mbali duniani zikiringia lugha kama utambulisho wao, Nchi maskini ya Tanzania inapima uwezo wa Mtu kwa kuongea kiingereza! Nimeshitushwa sana na kambi mbili kubwa za wagombea Urais kupost video za wagombea na Watanzania wenzetu waliojitokeza kuomba ridha ya kuongoza nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.