Search results

  1. D

    CHADEMA Mtwara

    Huu ni nini sasa panga sentensi ueleweke
  2. D

    Tanzania mpaka tufikia Uchumi wa Kenya sio leo wala Kesho

    So what? Seems you love even your poverty!
  3. D

    Dictatorship in democracy

    Mistake cannot justify a mistake. Your arguement indicate how General crime theory and Neutralization theory explain your personality. Please democracy does not mean what you ment! Yours resemble the decision taken by Plato to crusify Jesus on the cross because majority decided so!
  4. D

    Washauri/Wasaidizi wa Rais, tafadhali muwe makini katika matumizi ya lugha hasa za kisheria

    Kwahiyo umehamia sasa kuwa kamusi sanifu ya kiswahili?
  5. D

    Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    Tamko hili sio la lowassa na kama ni lake niko na mashaka juu ya lugha nyepesi kwa mambo mazito na sentensi zinazogongana ambazo huibua mashaka na udadisi juu ya uhalisia wake😞😞😞 Though sikuunga mkono uamuzi wake wa hasira lakini nilijua na bado sina mashaka na uwezo...
  6. D

    Zanzibar na hatima ya Muungano ni hatari...

    Ni vema ukasoma sheria na katiba za Nchi kuliko kusoma magazeti yaliyojaa propaganda za wanasiasa
  7. D

    Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

    Unapaswa kuulizia endapo ametoa tamko kuhusu watu wanakufa na kipindupindu hapo Dar sio matamko ya kujipendekeza kama utakavyo wewe😄😄
  8. D

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 Yaanza kupotoshwa

    Wabaki wahudumie wananchi! Hao malecturers waende ikulu kwa kibali. Kwisha😊😊
  9. D

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Propaganda always bring blindness to human thinking!😄😄😄 ICC has nothing to do with what happened in Tanzania😄😄😃😃😄 i think the universities which gives 🎓to our people should be investigated by international academic communities
  10. D

    Ni aibu na kwa kijana aliyemaliza Chuo Kikuu kupigia chama kisichomsaidia kwa lolote

    Kuhitimu shahada ya kwanza si kigezo cha kujitambua! Kama ndo hivyo wizi kwenye utumishi wa umma usingekuwepo😄😄😄😄😄.
  11. D

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Shida nini hasa? Yupo hayupo, what is the logic behind this? CDF is not a political figure this should be clear. The missions he conduct in and out of the country should and must remain confudential. He is not like President whose missions and visits appear in social media! Stop cheap politics
  12. D

    Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Wakati nchi mbali mbali duniani zikiringia lugha kama utambulisho wao, Nchi maskini ya Tanzania inapima uwezo wa Mtu kwa kuongea kiingereza! Nimeshitushwa sana na kambi mbili kubwa za wagombea Urais kupost video za wagombea na Watanzania wenzetu waliojitokeza kuomba ridha ya kuongoza nchi...
  13. D

    TBC FM na TBC Taifa zakosekana hewani Nje ya Nchi

    TBC wamerudi hewani Thank you leo ni leo
  14. D

    TBC FM na TBC Taifa zakosekana hewani Nje ya Nchi

    idadi inayoruhusiwa kutazama imeshapindukia ndio maana hatuwezi kuingia :crying::crying::crying:
  15. D

    TBC FM na TBC Taifa zakosekana hewani Nje ya Nchi

    Mnamo tarehe 23/08/2015, nikiwa Nje ya Nchi nimefuatilia kampeni za Mgombe wa CCM kuanzia asubuhi saa tano hadi saa 12:36. Siku hiyo matangozo kupitia internet yalikuwa clear kabisa na kila kilichotokea jangwani nilikisia kwa masikio yangu. Leo tarehe 29/08/2015 kupitia tovuti ya TBC sio TBC...
  16. D

    Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Hapa sasa sıasa za nchi yetu kwa miaka 23 zinaanza kupata mwelekeo mpya! Kwanza Mama Tanzania! Mtu si adui bali itikadi za vyama ndo za weza kuwa adui na chanzo cha umaskini wa watu wake! Vyombo vya dola visimamie majukumu yake kamwe visiingie kwenye siasa kwa muonekano huu
Back
Top Bottom