Recent content by Double7

  1. D

    Zip/postal codes ya Dar es salaam

    jaribu hii zip code ya tz: 11468 five digits kwenye national id
  2. D

    Fahamu kuhusu Mnyama Panya

    pia kuna wale wanaokula kucha tu huku wakipuliza na wale wale wanaokula vifungo tu mwisho ni wale wanaojipitisha pitisha wakiona wageni
  3. D

    Kwa nini TRA (Serikali) inalazimisha mashine ya EFD?

    Sidhani kama hiyo hesabu yako iko sawa. Kama umenunua 20,000/= ukauza 25,000/= that means 18% itakatwa kwenye 5,000 ambayo ni faida 900/=.
  4. D

    Jamani msaada wa tiba

    MziziMkavu baada ya operation ndo kilikuwa hivyo ila kikapona ila issue inayosumbua ni hako kauvimbe kanakotokea na maumivu kisha kanapasuka after a week kanarudia tena!
  5. D

    Jamani msaada wa tiba

    Vipimo amefanya sana na cost zina kuwa kubwa siku hadi siku - Uzito wake ni 65 kg na urefu ni cm 167
  6. D

    Jamani msaada wa tiba

    Naomba kama kuna mtaalamu humu jukwaani asaidie tafadhali! Kuna tatizo limemtokea ndugu yangu toka mwaka 2005 ikiwa ni kauvimbe mfano wa jipu karibu kabisa na sehemu ya haja kubwa dr akapasua ila hakikupona tena ila mwaka 2008 hospital nyingine wakagundua ni ni perianol fistula wakamfanyia...
  7. D

    Alichokisema Rais Kikwete nchini ufaransa kina mazingatio makuu kwetu sote

    Haswaaa! hilo swali aliloulizwa halikuwa rahisi kama alivyojibu!
  8. D

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Kuna ugonjwa mwingine unaitwa - Perianal Festula kama kuna mtaalam wa ugonjwa huu atufafanulie manake unafanana na huo!
  9. D

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    kweli kila nafsi kwa Mola itarejea! R.I.P kamanda!
Back
Top Bottom