Recent content by Don king shebby

  1. Don king shebby

    Fursa kwenye sekta ya elimu. Walimu tunakwama wapi kutengeneza hela kubwa?

    Thanks wazo nzuri mimi mwenyewe nawazo Kama lako la kufungua kampuni kabisa inahusiana na mambo ya elimu siku Za usoni nahisi tukikutana tunaweza tukachanganya mawazo mimi ni mwalimu wa physics na mathematics
  2. Don king shebby

    Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

    Nenda YouTube ikumbukwe tv anayoyahadithia yote kakopi huko imehadithiwa na dula planet
  3. Don king shebby

    UDSM Undergraduate and Masters Merit Scholarship

    jamani vipi washatoa au Bado tujuzane
  4. Don king shebby

    Nafasi za kazi University of Dar es Salaam (Immediate vacancies)

    jamani wakishortlist tupeane update unaweza ukasubiri kumbe watu washaitwa
  5. Don king shebby

    Msaada wa ajira ya ualimu kwa masomo ya Biolojia na jiografia

    physics na mathematics from udsm hapa very competent teacher hapa jamani
  6. Don king shebby

    Interview

    mbona mnamshambulia sana elimu yetu ya kibongo mnaijua msizuge Kama hamuifam ni ya kiujanja na kupata gpa kubwa haina maana kubwa unaijua content Sana hapana sema ni ufatiliaji na ujanja ujanja tu jamaa kauliza vizur ilipaswa mwenye experience ampe kidogo Mimi sioni kosa
  7. Don king shebby

    Tuition (Tale Teaching) Form Five na Six

    mambo vipi Kaka kwann tusifungue center Mimi pia ni fundi wa masomo hayo Kaka tuorganize tupige kazi nimemaliza udsm mwaka huu
  8. Don king shebby

    Tangazo la Kazi ya Ualimu

    Mimi nimetuma mwalimu wa physics na mathematics from udsm pia naweza kufundisha chemistry kwa vidato vyote
  9. Don king shebby

    Kuadimika kwa kazi za Tutorial Assistance katika vyuo vya umma, chanzo ni nini?

    kweli ninoma wadau tuanzisheni group za watsap tuwe tunapeana michongo ya post na maschoolarships wadauzinazotokea Mimi nazitafuta kinyama
  10. Don king shebby

    Kuadimika kwa kazi za Tutorial Assistance katika vyuo vya umma, chanzo ni nini?

    kweli zimekuwa changamoto Mimi nimezifatiia mpaka nimechoka natamani nitume tu hata Kama hawajazitoa watazikuta huko huko ni hataree
Back
Top Bottom