Recent content by dmatemu

  1. D

    Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

    Watu wanapenda sana kubisha, wanaona mambo hayawezekanai ila wapo watu wanaingiza pesa ndefu sana kwa biashara ambazo ni za kawaida. Nina mfano wa dada mmoja anauza juisi fresh. Kwa siku analaza za kawaida analaza wastani 350k, kuanzia ijumaa na weekends analaza wastani wa 600k. Ubishi bila...
  2. D

    Je, ungependa uishi miaka mingapi hapa duniani?

    Hata ukiishi miaka 500, ukafa bila kuwa na YESU, maisha ni bure
  3. D

    Sasa kwenda Bukoba ni TZS 100K kutoka TZS 65K, LATRA mnafahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania wenzenu?

    LATRA wameshirikisha wadau wote kupanga hizo bei au wamefanyaa maamuzi ofisini kwao na wenye mabasi? Wananchi/abiria ambao ni wadau muhimu hakuna anayekubaliana na ongezeko hilo. Dawa yao ni kugoma kusafiri tu
  4. D

    Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

    Unakuta mtu kiuhalisia nj jinsia ya kiume lakini humu Jf ana utambulisho wa kike. Sasa huwa najiuliza mtu wa namna hii ana akili kweli kichwani? Point ya kutaka kutambulika mwanamke ni nn? Ndio maana mimi nimekuwa mzito sana kuingia Jf siku hz. Mambo ya kijinga ni below 10% yaliyobakia yote ni...
  5. D

    Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

    Mkuu, kuna mambo mengi DC anatakiwa kufanya ikiwemo kutatua kero lukuki za wananchi, kuwa na mipango endelevu kama ujenzi wa shule, zahanati, maji nk, sio kuigiza vitu visivyokuwa na tija. Nadhani DC hakuwa sahihi hata kidogo. Rais anapokuteua kwa ngazi yoyote, amekuamini, kwahiyo unavaa urais...
  6. D

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake. Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji. Zaburi 24:1‭-‬2 BHN Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Mchana waupasha...
  7. D

    Kwanini watu hawana ujasiri wa kujiuliza uhalali wa dini zao?

    Nadhani wale wanaoshikilia hoja ya kuletewa dini kwamba basi dini ni mbovu inabidi wabadilike, kwa sababu hiyo ni hoja DHAIFU SANA. Africa tumeletwa almost kila kitu, kwa mfano, tumletewa NGUO, VYOMBO VYA USAFIRI, UMEME, YEKNOLOJIA NK, sasa mtu unaposhikilia kuwa ukiletewa kila kitu basi...
  8. D

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Kumbe ndio maana wadau walioko kule ukiwaambia wafanya mambo watume hata dola 100, wanachomoa. Acha nitulie bongo hapa kongoro sh 2,000. Home sweet home asikwambie mtu..
  9. D

    Wadogo zangu, kabla TV hazijaja enzi hizo mgeni alikuwa anapewa album atazame picha za zamani. Yaani umpe Mtanzania album asichomoe picha hata moja?

    We utakuwa wa miaka ya 1998, sqsa huyo Enrique Iglesias si wa juzi tu hapa miaka ya 2000s. Sisi tunamjua Baba yake, Julio Iglesias
  10. D

    Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

    Ujinga ni JANGA baya, lakini UPUMBAVU ni janga baya zaidi mkuu…
  11. D

    Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

    Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. Mithali 6:32 NEN https://bible.com/bible/1627/pro.6.32.NEN
  12. D

    Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Ila ulifanya kosa kubwa. Ulivyogundua anapenda hizo pilika ulitakiwa uachane naye mapema. Pole sana ndio maswahibu ya dunia yetu iliyo ukingoni kuharibiwa na ALIYEIUMBA kutokana na uchafu mwingi unaoendelea MBELE ZA USO WAKE.
  13. D

    Rafiki yangu ananiambia anataka ajiue. Nimshauri vipi akae sawa?

    Mwambie atoke aende OCEAN ROAD au MUHIMBILI akaone watu wanavyotamani wawe kama yeye. Akirudi muulize je bado ana wazo la KUJIUA?
  14. D

    Ni kweli Mungu anabadilisha mipango yake kwa kumuomba?

    Kama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia. Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako: Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani. Utabarikiwa uzao wa...
Back
Top Bottom