wakubwa shkamooni na mnisamehe, today I have finally confirmed. Hakuna mapenzi ya ukweli ya kukutana kwenye mitandao Tanzania, labda huko nchi za wenzetu ambao wanaweza kuwa wanatumia hii mitandao kuwanufaisha. Wewe kama hukumpenda ulimbanjua wa nini?
Jamani na hata tabia ya kugombana kwa sauti ya juu inakera mno, mtu mwingine anatoka nje anakutukania huko wakati wewe uko ndani ili tu majirani wasikie jamani..... yani inakera usiombe. Bora mgombane kichini chini ndani mkitoka nje mnajikausha na tabasamu za uongo uongo. inaleta heshima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.