Search results

  1. D

    Ijue sababu , kwa nini condoleeza rice hana mume!

    Msinichanganye mie..........:wink2:
  2. D

    Waogope wanaume na wanawake wanaojipenda na watanashati kwenye mapenzi ya kweli.

    Mie nabisha. tena sana tu haina uhusiano. kwanza nyie standard zenu za kujipenda ni zipi? justification tu kwa wasiowatanashati
  3. D

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Duu, sasa huyu inabidi aende babashopu.
  4. D

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    We bujibuji taratibu zunguka nyuma tuongee kwa dirishani bana, baba nanii akikuona atakuja na marungu. Halafu Mmasai
  5. D

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Hahahahah yani leo mmeniacha hoii, huwa zikitokea tu nazichomoa fasta, kuanzia sasa nitakuwa naziacha huku natembeza kidevu juu juu hahahahahah
  6. D

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Atleast ina logic, mimi ni risk taker sana. Nafanya ninachokiamini, hapo labda
  7. D

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............
  8. D

    Mapenzi ya Jf Yamenitokea Puani

    wakubwa shkamooni na mnisamehe, today I have finally confirmed. Hakuna mapenzi ya ukweli ya kukutana kwenye mitandao Tanzania, labda huko nchi za wenzetu ambao wanaweza kuwa wanatumia hii mitandao kuwanufaisha. Wewe kama hukumpenda ulimbanjua wa nini?
  9. D

    Mwanamke amtaliki mumewe mahakamani kwa tabia ya uropokaji usio na mipaka...!

    Jamani na hata tabia ya kugombana kwa sauti ya juu inakera mno, mtu mwingine anatoka nje anakutukania huko wakati wewe uko ndani ili tu majirani wasikie jamani..... yani inakera usiombe. Bora mgombane kichini chini ndani mkitoka nje mnajikausha na tabasamu za uongo uongo. inaleta heshima.
  10. D

    Mwanamke achoma moto range rover sport ya boyfriend wake kisa wivu

    Duuu! yesu na mariiiiiaaaa! yani katupa pesa yote hapo chini kiruuuuuuu! huyu ni kiasaka wa kike aiseeee!
  11. D

    Simpendi hata kidogo

    Anakupenda sana, na wewe ungekuwa unampenda wala usingesema anakucontrol, ungetii kila anachokuambia. Muache kaka wa watu ampende anayestahili
  12. D

    Nikaona maiti zao..!

    Hii story ni kama imejirudia hapa JF au macho yangu?
  13. D

    sifa za wanaume wenye vitambi

    Wamewasingizia sana, hasa namba saba.
  14. D

    Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

    huu mkitambi wangu dah! makavu laivu....
  15. D

    Maskini Mungu atuhurumie sisi tuliooa au tulio na mahusiano na Wadada wasomi!

    Du1! pole, neema zake mwenyezi mungu na hekima zake zikusaidie uishi kwa amani. Just curious, huo umalaya wanafanyaga na wanawake wenzao?? maisha yamebadilika kaka unaona wanawake mambo yao mengi sikuhizi yanafanana sana na wanaume kabisa kwa mfanao. 1. Wanavaa suruali kama wanaume 2. wanasoma...
  16. D

    Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

    Ni kweli wanaume wa kichaga wanajua sana kuhudumia MKE na sio kimada na wanajali sana familia kwa ujumla. Tatizo la hawa kaka zetu ni moja tu, hawako romantic na libeneke hawaliwezi vizuri yani utasikia "wewe mama manka fridge imejaa chakula, mafuta nimekujazia kwenye gari, pesa imejaa huko...
  17. D

    Dah, Aibu hii sijui nifichue hii siri!!

    hahahah kwanza nicheke kupunguza stress, jamaa baada ya kujifunika nyasi alikuwaje? du!! uongo kazi kubwa!!! hata hivyo hayakuhusu waachie mambo yao, ila sikulaumu sana tatizo litakuwa jina lako.
  18. D

    Kosa wako utalia sana

    Ubeti wa nne umenigusaa, nahisi aliyestahili kuwa wangu kashatangulia mbele za haki....ila ubeti wa mwisho wa muhimu zaidi, ameeen.
  19. D

    Kutamani vs Kupenda!!!!!!

    Ni kweli, ukianza na kutaka kumjua mtu inapendeza zaidi. mdadisi, mtembelee, go out for dinner talk talk and there will come the "i love you" day, baada ya kumjua kiasi cha kukutosha kuamua, kwa kweli inaleta heshima
Back
Top Bottom