Niliwahi kusikia wakati ule wa maonyesho kupitia EATV Mkurugenzi akieleza kuhusu kiwanda hicho, nachokumbuka alisema kwamba kiwanda kipo tayari kwa uzalishaji isipokuwa hawakuwa na fedha za kuanzisha uzalishaji kutokana na fedha walizokuwa nazo kutakiwa na Hazina wazitoe kulipia ununuzi wa share...
Naona Waziri wa Uchukuzi ameingilia kati na kumtangaza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TCAA na kuna tetesi kwamba amelimwa barua na kutakiwa kurudisha fedha zote za malupulupu aliyochukua ofisini hapo tangu kuanzia April 1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.