Recent content by Darwin james

  1. D

    Naomba kujuzwa fursa za kujiajiri kwa Mhitimu wa chuo fani ya Computer Science

    Yeah bro nimekupata ,, but kiukwel mpaka Sasa sipo kweny online community platform yoyot , na kuhusu skills ambazo Nina prefer most ni graphics design though not yet sija master kla Ktu , I like things like printing; posters, flyers, banners, logo, business cards za biashara za watu mbal mbal (...
  2. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Shukrani 🙏🙏 mkubwaa nimelipokea hili
  3. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Pamoja sana 🤝 ndugu yangu , Nimelipokea hili pia 🙏
  4. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Asante sana 🙏🙏🙏 ndugu yangu Kwa ushauri huu mzuri nimelipokea hili , Nashukuru.
  5. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Ni kitu ambacho napenda toka nikiwa mdogo,, yaan kujihusisha na mambo ya keknologia Kwa mfano hata nyumbani namna ya kutumia na kuelekeza watu jinsi ya kutumia vifaa vya telnkolojia kama Computer, tv , smartphones, kutumia application mbal mbal kweny Simu. nk
  6. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
  7. D

Back
Top Bottom