Recent content by danhort

  1. danhort

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Mtoa mada hujitambui pole
  2. danhort

    Uchaguzi Serikali za mtaa 2014

    Samahani wadau, HV nigharama kiasi gani zinatumika kuendeshea uchaguzi huu? Imagine kata moja inamitaa 9 hii Inamaana kwamba kuna wasimamizi wasaidizi 9. Assume @ analipwa 25,000 per day × 30 = 750,000/= * 9 = 6,750,000 kwa KATA moja vipi kwa halmashauri na taifa kwa jumla??? Nini kifanyike???
  3. danhort

    Nyumba iliyotoweka

    Amazing
  4. danhort

    NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

    NMB wanatoa mkopo hadi wa laki 2 #mbwa wa manzese
  5. danhort

    Tulikutana mjini anataka ndoa

    #Cute bee wewe ni mgomvi
  6. danhort

    Tulikutana mjini anataka ndoa

    Chalii wa ara tumekubaliana kuwa kaka na dada since last three weeks and she is gone to her homeland
  7. danhort

    Tulikutana mjini anataka ndoa

    Nashukuru kwa ushauri, changamoto, harshly comments zenu wadau na kila aina ya response ila napenda kuwa taarifu kuwa tumefikia makubaliano. Tupo kwenye utekelezaji now
  8. danhort

    Tulikutana mjini anataka ndoa

    #guss anamiezi miwili
  9. danhort

    Tulikutana mjini anataka ndoa

    Mkristo #belie
  10. danhort

    Tulikutana mjini anataka ndoa

    Kuna dada nilikutana nae mjini (bar) tukadate. Nikahama mji akaja kunitembelea Hataki kutoka. Nina mpenzi wangu nataka ishi nae lakini yeye amekuwa kikwazo. Naomba ushauri
  11. danhort

    Unajisikiaje pale uliyemuacha ameenda kupata maisha mazuri zaidi?

    X kufanikiwa isikuumize kichwa bali unatakiwa kufurahi kwani waweza pata retirement benefits siku moja.
  12. danhort

    Only in Tanzania !

    Nchi pekee inayokata PAYE kwa watumishi wote pamoja na walimu lakini inakata tena take home za walimu kwa ajiri ya ujenzi wa maabara shule za kata. Only Tanzania
  13. danhort

    Polisi waliofukuzwa kazi warudishwa kazini!

    Hata kama ni oil safi, si vema ikawa kazini muda wa kazi #gsana
  14. danhort

    Polisi waliofukuzwa kazi warudishwa kazini!

    Kama sio tatizo kupimana oil muda wa kazi ukiwa kazini. Basi hakuna 7bu yakuzuia watumishi kunywa pombe muda wa kazi tena wakiwa kazini
  15. danhort

    Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

    Kwenye msafara wa kenge sio ajabu kukuta mamba watoto pia #mgt software
Back
Top Bottom