Recent content by Dakxir

  1. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Mami mwislam kitu gani hicho
  2. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    nimechelew kuipata hiii ni kubwa kuliko ahsante Sana ndugu yangu...hekma yako ni elimu tosha sana
  3. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Dah nitajaribu na hili pia nahisi linaweza kuwa tiba pia ahsante sanaa
  4. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Nitajaribu na Hilo pia ahsante mwenzenu nateseka sana
  5. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Nimeoa ila bado uwepo wake kwangu bado natamani angekuwa ni yeye jamani
  6. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Wala sikuwahi kuzini naye japo aliw Upendo ni tunu amabayo hakuna kiumbe kinajua ukweli was nini kupenda..upendo hauna utabiri
  7. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Ila mbona naye alikuwa tayar kubadili
  8. Dakxir

    Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Habar zenu wanna jamiiforums kher ya mwaka mpya. Naomba msaada wa kuweza kuacha kumwaza na kumkumbuka yule ambaye bado nampenda sanaaa. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye kwakweli haijawah isha siku nisimkumbuke. Namuwaza mpaka mda mwingine nahisi bado nipo naye karibu yangu na imepelekea...
  9. Dakxir

    Msaada wa kujua maana ya neno 'Mshua'

    Mhhh😂😂😂 babalevo
  10. Dakxir

    Msaada wa kujua maana ya neno 'Mshua'

    Ahsante sana
  11. Dakxir

    Msaada wa kujua maana ya neno 'Mshua'

    Du nishakuwa dingileee
  12. Dakxir

    Msaada wa kujua maana ya neno 'Mshua'

    Wana JamiiForums naomba msaada wa kujua nini maana ya neno MSHUA. Wakati gani hutumika, mazingira gani husika, jinsia gani hutumia na ni muhusika ni nani hasa anapaswa kuitwa MSHUA. Hovi karibuni nimekuwa naliskia sana hili neno MSHUA haswa napokutana na jamii tofauti hata pale unapokutana na...
  13. Dakxir

    Msaada: Ananisugua kiganja nyakati za usiku nikiwa nimelala

    Habari zenu ndugu wana JF, Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru. Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi...
Back
Top Bottom