Recent content by Daichii

  1. D

    Nifanyeje iPhone yangu itumie Apps za android?

    Naomba msaada mm mgeni kutumia iphone vitu vingi sielewi naomba ajitokeze mtu nimuulize.Aksante
  2. D

    Nahitaji binti wa kazi za ndani mkoani Arusha

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wa binti wa kazi au mama mtu mzima mwenye kufahamu wanakopatkana naomba msaada, mshahara tutaelewana, familia ndogo watu watatu. Aksanteni
  3. D

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Jipatie viatu vizuri vya kike na mikoba ya kisasa[emoji151][emoji91][emoji91] Tunapatikana Arusha mjini SIZE 38,39,41,42 Natuma mzgo popote ulipo ndani na nje ya nchi Pemba , Unguja, mikoa yote, Kenya, Uganda USAFIRI KWA GHARAMA ZA MTEJA *UKIPENDA KARIBU INBOX KUKUHUDUMIA *Plz Follow Instagram...
  4. D

    MB za Vodacom zina chuma ulete?

    Sawa ngoja nicheck Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
  5. D

    Mwaka wa 3 mzee huyu anahangaikia mafao yake PSSSF bila mafanikio

    Nilionana na meneja mkoa nilipo majibu aliyonipa niliishiwa nguvu Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
  6. D

    MB za Vodacom zina chuma ulete?

    Nazungumzia halotel voda nilishaacha. 5000 gb7 siku moja kimeisha Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
  7. D

    Mwaka wa 3 mzee huyu anahangaikia mafao yake PSSSF bila mafanikio

    Naombeni namba ya mkurungenzi wa hili shirika labda anaweza nisaidia nimehangaikia mafao ya uzazi huu mwaka wa tatu majibu nimayopewa ni huzuni Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
  8. D

    MB za Vodacom zina chuma ulete?

    Halotel ndio wez kabisa unanunua cha 3000 kinaisha masaa 9 au 10 unannua cha 5000 ndani ya siku moja wanakutumia msg kifurushi cha 3000 kimekarbia kuisha unapiga simu wanakwambia matumiz matumiz gan ya kumaliza gb 7 siku moja bora ingekua movie labda Sent from my CPH2127 using JamiiForums...
  9. D

    Wana Jf karibu twende

    Nini maana ya wakola waitu?
  10. D

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nahitaji mashuka yale ya kukata kwa mita mazuri cotton bei nzuri? Ntapata?
  11. D

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Anayejua yanapopatikana mashuka ya jumla yale ya kukata bei nzuri anisaidie
  12. D

    Biashara ya kutumia Selcom inalipa?

    Habari zenu wanajamvi,ni matumain yangu mko salama. Naomba kuuliza biashara ya kutumia selcom machine inalipa kwa wanaoifahamu? Pili ukiwa na ile machine uweke biashara gani ya kuisupport ili faida iwe nzuri zaid? Aksanteni
Back
Top Bottom