Cha kustaajabisha ni kwamba Jana Raisi alipoenda bandarini tulionyeshwa gari zikiwa kwenye container, Jana hiyohiyo tunaletewa picha na akina Malisa Godlisten kuwa ndo gari zenyewe huku ikionekana liko ndani ya nyumba ya MTU.
Ndo maana ukasema kubajeti, bajeti haimaanishi ni lazima mwisho wa siku utumie kila kitu ulichokitenga. Unaweza kutenga tshs 10 na ukatumia tshs 5, au ikashindwa kukutosha.
Nani aliwaambia kuwa hilo vazi ni special kwa ajili ya waislam tu? Tuwe tuna tafakari kwanza siyo kutetea tu. Katika maadili ya bunge kuhusu mavazi hayajaspecify kuwa kanzu ivaliwe na KUISLAM PEKEE, bali ni vazi lililoruhusiwa lakini ni lazima liambatane na kibaraghashia. STOP & THINK!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.