Search results

  1. chutex

    Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

    Kiongozi, japo ni muda mrefu kidogo umepita tangu UZI huu uwe hewani, ila nitshukuru sana kiongozi kama utanifowrdia na mimi huo mkataba. Asante
  2. chutex

    Asanteni Maafisa bandari, siku nyingine mkitengeneza sinema mkumbuke kubandua plate number

    Cha kustaajabisha ni kwamba Jana Raisi alipoenda bandarini tulionyeshwa gari zikiwa kwenye container, Jana hiyohiyo tunaletewa picha na akina Malisa Godlisten kuwa ndo gari zenyewe huku ikionekana liko ndani ya nyumba ya MTU.
  3. chutex

    Zitto ajiingiza kwenye uchaguzi wa TLS, awataka wajumbe wamchague Masha badala ya Lissu

    Masha kajiweka kando na siasa Zach Moja Kwa moja, ila lissu yupo ndani ya siasa kwa zaidi y'all asilimia 100
  4. chutex

    Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

    Linamuhusu Mwenyekiti wake that's why anazuga kuwa ni minor issue
  5. chutex

    Hatimaye serikali yawa sikivu, local channels sasa zimerudi hewani bila malipo

    Toka manzo utaratibu ilikuwa ni kubisha free local chanels
  6. chutex

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Haҡɨҡa աaʟɛ WA ʍaʀɨռa ʍaҡʊɮաa ռaʍɛ ʍaaʀʊʄʊ աʀօtɛ ҡaաaʀʊҡa/kawakwep
  7. chutex

    UKAWA kwenda kudai posho mahakamani

    Posho kupata ni mpaka uhudhurie kikao au uingie na kusaini, wale hawakuwepo kabisa
  8. chutex

    Kama huu ndio udikteta na Kushindwa kwa rais Magufuli basi tunamhitaji kwa zaidi ya miaka 100!

    Hakika aendelee kushindwa tu, na tutamuondoa madarakani 2020 kwa MISHARE YA DHAHABU NA RISASI ZA TANZANITE
  9. chutex

    Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu, aelezea kusitishwa ajira za serikali

    Mmmmmmh!! Mawazo cheap kutoka kwa mtu kama wewe ni fedheha [emoji17][emoji17][emoji17]
  10. chutex

    Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu, aelezea kusitishwa ajira za serikali

    Ndo maana ukasema kubajeti, bajeti haimaanishi ni lazima mwisho wa siku utumie kila kitu ulichokitenga. Unaweza kutenga tshs 10 na ukatumia tshs 5, au ikashindwa kukutosha.
  11. chutex

    Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Si unayasoma MTANDAONI? [emoji13][emoji13][emoji13]
  12. chutex

    MBUNGE Mh. Anatropia amjibu Mh. Godluck wa Ulanga

    Nani aliwaambia kuwa hilo vazi ni special kwa ajili ya waislam tu? Tuwe tuna tafakari kwanza siyo kutetea tu. Katika maadili ya bunge kuhusu mavazi hayajaspecify kuwa kanzu ivaliwe na KUISLAM PEKEE, bali ni vazi lililoruhusiwa lakini ni lazima liambatane na kibaraghashia. STOP & THINK!
  13. chutex

    Siungi mkono Rais kutukanwa!

    Sasa we nani? Mpaka utiliwe umuhimu kuhivyo? Tuache siasa pasipo hitaji siasa. Mkuu wa nchi si shemeji yako
  14. chutex

    Rais Magufuli; Rais wa miaka mitano au pungufu

    Inaonekana dhahiri kabisa wewe mleta mada ndo umekuja na STAILI YA UBAGUZI ZAIDI. Eti anajaza maprof na madr ambao hawatamsaidia, eeeeenh!! huu si UPUUZI JAMANI??? unawakashifu wasomi wakati huohuo wewe pamoja na wenzio mnawahadaa watanzania kuwa kipaumbele cha kwanza ni ELIMU, cha pili ELIMU na...
  15. chutex

    Zitto unatia aibu, unatuangusha wapiga kura wako

    Umeongea la msingi sana jamaa yangu. Hawa jamaa mi huwa nawashangaa sana, eti mtu huwa ni mwema tu pindi anapokuwa upande wao bt akiwahama tu!! huyo keshakuwa hafai yaani anafaa kutupwa kabisa. mf. lowasa, msindai na wengine wengine. Zitto awamu zote alikuwa upinzani alipata umaarufu kutokana na...
  16. chutex

    CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Na bwana WENJE naye kapigwa chini. :angry:
Back
Top Bottom