Najisikia vibaya sana nikiona mtu kama wewe ukitupotosha!
RAZABA ( Ranch of Zanzibar in Bagamoyo) ilikuwa ni eneo halali la Tanganyika hadi ilipofika 1977 ambapo Aboud Jumbe (kutokana na udogo wa Zanzibar kieneo) alimuomba Mwalimu Nyerere sehemu ya ardhi ya Tanganyika ili itumike kwa ajili ya...
Tamko la ovyo kabisa! mbona hatujawahi kusikia matamko kama hayo yakitolewa kwa yale yanayotokea kwenye viwanja vya michezo pale ambapo mashabiki wa timu fulani wanapozomea wachezaji/mchezaji wa timu pinzani!? Haina tofauti na kusema ukiua mkwere ni kosa ila ukiua mmasai hakuna kosa!!
daah! pole sana, nikiona mtu anashindwa kuelewa hata lugha ya picha huwa nasikitika sana! maana sijui njia gani nyingine itumike ili kumuelewesha.
Hebu tafakari tena!
Acha kuleta fyongo hapa, kuongea na wasomi ili iweje? hivi unajua majority ya watu wa nchi hii ni wa kada ipi? huyo jamaa yenu wa kupaa angani huko alipokuwa anaenda kutembeza bakuli hakuwaona ninyi wasomi wa hapa?! simbilisi wee!
Ni kweli nakubaliana na wewe, intelijensia ya polisi inatakiwa ifanye kazi extra mile kubaini kwanini matukio ya askari kuporwa silaha yanaongezeka! Lakini pia suala la ku-recruit na mafunzo ya askari linahusika sana, huyu chagonja mkuu wa operesheni na mafunzo anapwaya sana!
Cha ajabu kuna video kadhaa zinasambaa kwenye whatsapp kuhusu mafunzo ya kijeshi ndani kambi za jeshi, vijana wa JKT wanaonekana wanavyopewa karinye karinye, ni jambo ambalo kiusalama si zuri lakini nashangaa hawafatilii kujua ni nani anayerekodi hizo video na kusambaza!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.