Search results

  1. Chuma Chakavu

    Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Najisikia vibaya sana nikiona mtu kama wewe ukitupotosha! RAZABA ( Ranch of Zanzibar in Bagamoyo) ilikuwa ni eneo halali la Tanganyika hadi ilipofika 1977 ambapo Aboud Jumbe (kutokana na udogo wa Zanzibar kieneo) alimuomba Mwalimu Nyerere sehemu ya ardhi ya Tanganyika ili itumike kwa ajili ya...
  2. Chuma Chakavu

    Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Hapo unakosea maana hajataja source ya hela zake, sio lazima pesa zake zote zitokane Na sadaka inawezekana anazo mishe nyingine nje ya kanisa!
  3. Chuma Chakavu

    UFO(unidentified flying object) yapita hapa Msasani usiku huu

    Huna lolote wewe! wanaowanyanyasa unawajua na pia upo kundi moja nao! Acha unafiki!
  4. Chuma Chakavu

    Huyu ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi

    Hicho cheo mabegani mbona ni kama cha General na si Major General! Kwa anaejua vyeo vya kijeshi atufafanulie!
  5. Chuma Chakavu

    Nusrat Hanje: Viongozi wa CHADEMA hamjamtendea haki huyu dada, amedhurumiwa na hii si sawa

    Bila Nusrat Hanje kwenye hii orodha ya viti maalum ya CHADEMA naona timu haijakamilika!huyu bibie namjua na ni mpambanaji mwenye hoja kweli kweli!
  6. Chuma Chakavu

    Are spies made or born?

    There are born spies and trained ones,but those who are born and trained are the best ones!
  7. Chuma Chakavu

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    R.I.P kamanda Mohamed Mtoi, ni pigo kubwa sana kwa CHADEMA na wapenda mabadiliko kwa ujumla. The guy was good!
  8. Chuma Chakavu

    UKAWA wanaweza kutumia muda wote kuwajibu Mkapa, Mwinyi na Makongoro

    Kwa hiyo hizo ndio hoja za ccm kwenye kampeni za mwaka huu!? pumba kabisa!
  9. Chuma Chakavu

    Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Tamko la ovyo kabisa! mbona hatujawahi kusikia matamko kama hayo yakitolewa kwa yale yanayotokea kwenye viwanja vya michezo pale ambapo mashabiki wa timu fulani wanapozomea wachezaji/mchezaji wa timu pinzani!? Haina tofauti na kusema ukiua mkwere ni kosa ila ukiua mmasai hakuna kosa!!
  10. Chuma Chakavu

    Kasoro DART: Milango ya mabasi ipo kushoto wakati vituo vya abiria vipo kulia

    Mimi naona ungesema milango iko kushoto na vituo viko kulia, ingekuwa imekaa vizuri zaidi.
  11. Chuma Chakavu

    Kasoro DART: Milango ya mabasi ipo kushoto wakati vituo vya abiria vipo kulia

    daah! pole sana, nikiona mtu anashindwa kuelewa hata lugha ya picha huwa nasikitika sana! maana sijui njia gani nyingine itumike ili kumuelewesha. Hebu tafakari tena!
  12. Chuma Chakavu

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Acha kuleta fyongo hapa, kuongea na wasomi ili iweje? hivi unajua majority ya watu wa nchi hii ni wa kada ipi? huyo jamaa yenu wa kupaa angani huko alipokuwa anaenda kutembeza bakuli hakuwaona ninyi wasomi wa hapa?! simbilisi wee!
  13. Chuma Chakavu

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Ni kweli nakubaliana na wewe, intelijensia ya polisi inatakiwa ifanye kazi extra mile kubaini kwanini matukio ya askari kuporwa silaha yanaongezeka! Lakini pia suala la ku-recruit na mafunzo ya askari linahusika sana, huyu chagonja mkuu wa operesheni na mafunzo anapwaya sana!
  14. Chuma Chakavu

    Sifa, shobo na usharobaro vyamtokea puani mwanafunzi wa UCC Mbezi beach mbele ya wajeda leo

    Cha ajabu kuna video kadhaa zinasambaa kwenye whatsapp kuhusu mafunzo ya kijeshi ndani kambi za jeshi, vijana wa JKT wanaonekana wanavyopewa karinye karinye, ni jambo ambalo kiusalama si zuri lakini nashangaa hawafatilii kujua ni nani anayerekodi hizo video na kusambaza!!
  15. Chuma Chakavu

    Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    unataka picha au video? picha inayotoa sauti ya kuzomea!!!
  16. Chuma Chakavu

    Yaliyojiri Ubungo Plaza: Prof. Lipumba ametangaza nia ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Huna tofauti na waganga wanaopiga ramli chonganishi, hizo zamu za urais kwa misingi ya dini zimeandikwa wapi?! Hata wazanzibari nao wanaweza kusema ni zamu yao na wanawake nao wanaweza kusema zamu yao! Jambo la msingi mchakato upo wazi na huru, anaejiona anafaa bila kujali dini au jinsia au...
  17. Chuma Chakavu

    Julius Nyerere akimulezea Abdulwahid Sykes pamoja na wazee wa Dar es Salaam harakati za TANU

    Unafiki wako na akina faizafoxy,mohamed said,ritz n.k uko wazi sasa, mmekuwa mkimnanga Nyerere kuwa kafunika historia ya wengine kumbe alikuwa anawa aknowlegde wenzake kwenye hotuba zake, tatizo ni nyota!
  18. Chuma Chakavu

    Sihusiki na uratibu wa safari ya kwenda kwa Lowassa!

    labda kama kura unapiga peke yako!!
  19. Chuma Chakavu

    Matumizi ya neno 'albinism au albino' katika kiswahili ni aibu na ni kudidimiza kiswahili

    uko sawa kabisa maana hata mimi huwa nashangaa sana!
Back
Top Bottom