Recent content by Chromium

  1. Chromium

    Kuna mtu umempenda kazini? Tafakari yafuatayo

    Sehemu kubwa ya maisha yako kama mfanyakazi unaitumia kwenye eneo la kazi. Ingawa inategemea na aina ya kazi unayoifanya, ni wazi muda mrefu kwa siku unaoutumia kutekeleza majukumu yako unakuweka karibu zaidi na wafanyakazi wenzako kuliko hata familia na marafiki. Mazingira haya ya ukaribu wa...
  2. Chromium

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Exactly my thoughts. Hizi ni propaganda za kuwahamisha watu. Wanashindwa kuingiza gari kwenye kontena kutengeneza skendo?
  3. Chromium

    Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Hadithi nimeigundua leo. Nimeisoma kwa mfululizo bila commercial break. Da. Kuna watu mmejaaliwa vipaji vya kusimulia. Wachache sana wana uwezo huu. Yaani kama unaangalia movie vile. Hongera sana Lara1. Una kitu ndani yako. Ningependa tujiulize, hizi rabsharabsha za kimahusiano zinazofikia...
  4. Chromium

    Waziri Prof. Ndalichako aibana NECTA kuhusu matumizi ya GPA

    Wewe sio mzima ha haha. Nimependa sana namna ulivyotofautisha hiki kinachoitwa sayansi na sanaa. Unaonekana una kichwa kizuri
  5. Chromium

    Lowassa/CHADEMA wanateswa na dhambi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Dk. Slaa

    Wakati mwingine unaweza kuharibu lolote ulilowahi kulifanya kwa tendo moja tu la kijinga. Ni kama Sitta alivyopoteza heshima aliyoijenga kwa papara ya kutafuta sifa za kijinga kupitisha katiba ya Chenge. Ndugu Slaa anaweza kuwa amefanya mengi. Bahati mbaya ameharibu historia yake. Simple as that.
  6. Chromium

    Lowassa/CHADEMA wanateswa na dhambi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Dk. Slaa

    Short term gain? Angalau sasa umegundua Lowassa amesababisha gain ambayo Bw Slaa asingeweza. Kuhusu utabiri wako, well, zilikuwepo tabiri nyingi. Kwamba CDM wasingepata hata ongezeko la wabunge. Wabunge wengi wangeshindwa na kadhalika. Nadhani endelea kungoja.
  7. Chromium

    Lowassa/CHADEMA wanateswa na dhambi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Dk. Slaa

    Performance ya upinzani umeongezeka bila Bw Slaa. Pamoja na kelele zake za kuwahujumu wapinzani, bado 40% imepatikana. Mtu anaposema Bw Slaa amefanya upinzani ushindwe ana maana gani? Kutoka 26% za 2010 mpaka 40% za 2015 ni kuporomoka? Tukubaliane Magufuli alikuwa mgombea mzito. Angepambana na...
  8. Chromium

    Lowassa/CHADEMA wanateswa na dhambi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Dk. Slaa

    Mnapaisha Dk Slaa kwa lipi? Mwacheni ale pensheni Marekani baada ya kutumika. He is nothing. He is a nobody. A loser. Kumtaja taja ni kumpa haki asiyostahili.
  9. Chromium

    Prof Kitila Mkumbo: ACT - Wazalendo sio mazuzu wa kususia Bunge

    Kitila anachekesha. Hataki kuitwa msaliti kwa madai kwamba si sahihi kumwita unayetofautiana "msaliti". Wakati huo huo, waliotoka bungeni(ie waliotofautiana na Zitto) anawaita manyumbu na mazuzu. Ujinga watakaopambana nao popote ulipo upo ndani ya ACT. Waanzie huko.
  10. Chromium

    Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    Yaani umesema nilichotaka kukisema ha ha ha. Hivi na yule Chiku Ambwao tuliyeambiwa atamwangusha Msingwa alipata kura ngapi?
  11. Chromium

    Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

    Angalia kwa makini Le Profeseri anavyomwangalia Dakta Mihogo akihutubia. Cheki macho ya Kova na akina Sadick. Watakuwa wanacheka kimoyo kimoyo haki anani.
  12. Chromium

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Hata kama ni jitihada za kujaza idadi ya posti haiwezi kuwa kwa kiwango cha upuuzi wa aina hii. Kila unayetamani awe kahusika na mauaji automatically anakuwa implicated? Upuuzi wa hali ya juu. Kuwa na ubunifu walau kidogo. Tsk!
  13. Chromium

    Dr Slaa katika ubora wake

    Uso unaonesha stress. Huyu mzee ana msongo mkubwa wa mawazo. Poor Old frustrated man
  14. Chromium

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Sizungumzii mafuriko unayoyaona kwenye picha. Sizungumzii kukubalika kwake au kukataliwa kwake nje ya chama. Nazungumzia ridhaa aliyoipewa na wana-CHADEMA. Vyombo vya maamuzi ya chama ikiwemo Kamati Kuu waliridhia na hatujasikia wanaopinga uamuzi wa kumpokea Lowassa isipokuwa babu yako Slaa...
Back
Top Bottom