Recent content by chowder

  1. chowder

    Jamani huko TRA/TISCAN kunanini mbona magari yetu yanaoza bandarini

    Asante ndugu yangu Utamaduni,ila kwakweli hii hali haitii moyo kabisa.Why are we starting using systems ambazo we havent even mastered them?then tunalalamika kwamba nchi ni masikini bla,bla,bla..........hivi ni kweli?au tunashindwa kutumia vizuri raslimali tulizonazo kama bandari,kweli kwenye...
  2. chowder

    Mtego wa mfanyakazi wa kike kwa mfanyakazi mwenzie mwanamme safarini

    Kweli kijana ulikuwa kama Yusuph wale ndugu zetu wakristo wanamjua.Kama hiyo story hujai edit
  3. chowder

    Jamani huko TRA/TISCAN kunanini mbona magari yetu yanaoza bandarini

    Wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing agent wangu ananiambia eti sikuhizi kuna mfumo wa kuwasiliana kwa mtandao kati ya agent na TRA/TISCAN...
Back
Top Bottom