Hawa ndio viongozi wetu wa kiafrika...wanaona raha sana kukimbizwa na magari barabara zikiwa haziruhusu magari mengine , wao tu sasa unafikiri wataachia madaraka kweli? Hebu jamani wana JF tufikirie dawa ya kutibu hili tatizo la kuwa ving'ang'anizi hawa viongozi wetu....
Haya mataifa makubwa nayo jamani hayafai huwa hayana msaada mtupu lazima kuna kitu wanakitaka ambacho ni mafuta ya libya...kama si hivyo mbona ivory coast hawaendi...? tuwaangalie sana hawa jamaa na misaaada yao.....
Lakini jamani hata kama akishinda , atamuongoza nani? Cha msingi tu ang'olewe madarakani kibabe, apande mtu mwingine...lakini Libya haitakuwa kama Libya ya zamani....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.