Chijanganye kwenye makundi ya watu kwa kupiga story. Nakushauri pombe si njia ya kukusahaulisha eti usiwe unawaza juu ya jambo linalosumbua akili yako.
Sasa hapo kinachokufanya uone analika ni kitu gani. Nakushauri kama una huo mpango upotezee maana akikuchokolea hutokuja kukuabali kuwa ndo yeye amekukataa!
Kuna sababu gani kutambulisha kazi yako katika jambo hili? Lakini kwa maandishi yako unaonekana kama umeshavuta mgao tayari.
Labda niachane na hayo, niseme hivi:
1: Kama shida yako kutaka kujua mbona ndani yake umekuwa na majibu na mitazamo ambayo ungependa ifanyiwe kazi? Hii inadhirihisha...
Nawakumbuka hawa watangazaji wa RTD enzi hizo walifanya vizuri sana kwenye kipindi cha ngoma za asili, nakumbuka kipindi kilikuwa kinafanyika baada ya taarifa ya habari ya saa 4 asbh sina hakika ilikuwa kila siku au kila.
Embu mtujuze mwenye habari zao!
Wanajamiiforums, kwa wale waliobahatika kusoma kitabu hiki hakika watakubaliana nami kwamba mwandishi alijitahidi sana kuwa na connectivity nzuri ya matukio na kitabu kimejaa furaha na kutia huruma kwa baadhi ya wahusika.
Nimefurahishwa na safari ya Fr Moyo kule Ukerumani had alipokuja kuwa...
Nafasi za (2) za waalimu
1: awe anafundisha Physics- ni sharti awe female
2: awe anfundisha Mathematics- ni sharti awe male
Sifa za mwombaji
Awe na elimu ya Diploma tu.
NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply
Shule ya seminary (O-level) ipo mkoani Lindi. Kwa watakaopata...
Ni kweli nyoka aina ya kifutu ni mbaya sana.Mtwara ama Lindi wapo wengi sana.Ana rangi ya kombati za kijeshi,si mwenye papara lkn mazingira ya kung'ata ni pale hasa utakapokuwa umemkanyaga.
Ni nyoka mzito sana na hana mbio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.