Recent content by chamilo nicolous

  1. chamilo nicolous

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    Wakati watumishi waliotumia nguvu zao kujenga nchi hii wakikatwa Pesa walizo dunduliza wao wenyewe katika kipindi chao cha utumishi, Wake za vigogo na familia zao wanaongezewa gharama za kuendesha maisha
  2. chamilo nicolous

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    MABADILIKO YA SHERIA YA MAFAO YA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO: Jina la sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT, (CAP. 225) "THREAD" BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu...
  3. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Twende na mama hadi wapi? Kwanza tunaendaje,. ..alafu anatupeleka wapi????
  4. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Sawa,fikiria Hili, hospitali inajengwa bei ya mfuko wa cement 1 zaidi ya elfu 30, hii ikoje, na hivyo vyombo vya usalama vipo
  5. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Wizarani pana nuka, mzee wa upara alipo kuwa pale Wizara ya Umeme(Nishati) kafanya kufulu, ni Aibu tu, nani aseme, mama kimya, wananchi tunahumia
  6. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Mama Hawakuogopi! Ni heri ungehairisha nia yako, tuna umia sisi wanyonge. Watu wanalamba asali, wanyonge tunadhoofu KWA njaa. Hii inarefleki stori ya starving boy. Niliwahi kusoma shairi moja la mtoto mwenye utapia mlo, akiwa na ndoto za akiwa mkubwa achukue bunduki apiganie ukombozi wakati...
  7. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Sasa kuna hospitali inajengwa machochwe imeshindwa kukamilika, BOQ inatisha, mfumo mmoja wa sementi ulikuwa unanunuliwa zaidi ya Sh elfu 30, Ingeneer anapitisha, Diwani yupo, Hili nalo la kusubiri waziri mkuu
  8. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Waziri Mkuu ndiye alibaki wa Kufunga paka Kengele; Hatufiki Eti, Mkurugenzi upo, Mkaguzi wa Mahesabu upo, TAKUKURU upo, TIS (usalama) mpo, watu wanapiga hela kama hawana akili nzuri
  9. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Sasa kama mwingine kaingia kwenye mfumo, kakomba milioni 200, hii ni kufulu ——Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti, Saad Mutunzi Ishabailu kwa kosa la...
  10. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Repost @eastafricatv Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti, Saad Mutunzi Ishabailu kwa kosa la kuhamisha shilingi milioni 213,748,085 kwa awamu nne kwa njia...
  11. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
  12. chamilo nicolous

    DOKEZO Ajenda ya ‘KUMSEMEA MAMA’ yaipasua UVCCM

    Ulisha aaambiwa ukiona maisha magumu hama burundi
  13. chamilo nicolous

    Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Unachofanya nini? Wewe pia si unajadili? Kuna upuuzi zaidi ya huuu wa kuamini Mohammad ni mtume,, na wakati hata Yeye hajui hatima yake Siku ya kihama????
  14. chamilo nicolous

    Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Mpuuzi ni wewe husiyejua hata unalouuliza? Swali lako ni lipi?
Back
Top Bottom