Nakumbuka Mkapa wakati wa kampeni za kuwania urais awamu yake ya kwanza alibezwa na wana kigoma na kumwagiwa mchanga katika mikutano yake. Matokeo yake mpaka anatoka madarakani hakuwafanyia chochote cha maana kama malipizi.
Tukirudi nyuma Nyerere naye aliwatelekeza pengine sababu ya tabia...
Yaani inazidi TISS. Tukikomboa nchi tutachagua TISS mpya hii iliyopo imeoza na inanuka rushwa na mauaji. Ndio maana wako busy kuhakikisha magamba wanabakia madarakani ili wazidi kugawana rasilimali za nchi.
nakubaliana nawe 100% hebu watu fuatilieni historia kama alivyo sema mkuu hapo juu. Kumbukeni pia yaliyo mkuta Kafulila. Alipo timuliwa CDM na kwenda NCCR alianza mbinu za kumng'oa Mbatia kama hivi hivi alivyo fanya Zitto lakini aliangukia pua na kuomba msamaha. Hivi hawa wana kigoma msipo kuwa...
Ndo maana yake..Huku tuliko ni shangwe sababu huyu mtu ni kama vile alicheleweshwa..Lakini wadau kama mna kumbukumbu ya matukio mnakumbuka kipindi wabunge wa CDM walivyo piga kura ya kutokuwa na imani na jamaa huyu?
Zitto kung'olewa kwangu imekuwa ahueni sababu nilijua pamoja na harakati zote za ukombozi bado kulikuwa na kirusi Zitto ambaye amekuwa na tuhuma nyingi zilizo hatarisha uhai wa chama. Nilikuwa najiuliza pia kwa nini akina wasira walisema kabla ya 2015 CDM itakuwa imekufa? Kumbe mkakati mzima...
Watu kigoma ni wanafiki sana na wana historia ya usaliti. Hebu tukumbuke Kaburu alivyo kuwa maarufu na ghafla akakisaliti chama kwa kurubuniwa na magamba...hata Zitto naye nilijua ni njia hiyo hiyo. Ila ninacho jua umaskini wa watu wa kigoma ndio unawafanya wawe wepesi kurubuniwa na vijisenti...
He was responding to a question posed by one journalist who wanted to know why Tanzania is sidelined in the on going meetings of the four states that is Kenya, Uganda, Rwanda and South Sudan. But he made one point that is they are doing that for the benefits of their citizens. No matter how much...
Baada ya kujua fika CDM iko safi kuhusiana na ukaguzi fedha za ruzuku akailipua issue na kujifanya hayuko upande wowote. Wasiojua wakaanza kumbwatukia wasijue haiwezekani naibu katibu mkuu wa chama asijue lolote kuhusu ushahidi wa nyaraka CDM walizotoa baada ya suala hili kulipuliwa.
Nyambafu..tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli..mnataka kauli za "uchumi unakua", "ahadi zina tekelezeka" n.k Ninyi ndo mnampoteza dhaifu matokeo yake anaishia na kauli za "nimeambiwa,nimejulishwa" pasipo kuchanganya na zake kama alivyo wadhihaki wafanya kazi kipindi fulani walipotaka kugoma kwa...
Hili ndilo jukwaa la great thinkers! Yaani Jukwaa hili limepoteza thamani kabisa kwa kuwa na wachangiaji wa aina hii. Hebu jiulize mtu msomi unaingia jukwaani kupata mawazo mbadala na yenye challenges halafu unakutana na kichwa kama hiki.
Nadhani kuna haja ya kuanzishwa jukwaa lingine ambalo...
Magamba kama kawaida yao ni misosi tu! Hebu onyesha picha hata moja ya Dr.Slaa katika ziara yake Marekani ambapo alikuwa akipiga misosi kama hao jamaa hapo! Na aliongea na wanazuoni na viongozi wa serikali na kutoa "The speech of life time" Na pia acheni kuwatisha wananchi ili muendelee...
· The proposed road is expected to have a six-10 lane road, and construction is scheduled to start in 2016.
· The superhighway will have no weighbridges or roadblocks.
· As the cost of doing business in the region drops, intra-EAC trade, which currently stands at...
Waache wajigambe kwa kuendekeza siasa na chuki dhidi ya amajirani ni wazi kuwa mwisho wa siku tutabaki peke yetu. Bandari ya Bagamoyo jamaa hawezi kuiacha sababu ni moja ya zawadi aliyo wapatia wachina kama asante ya kuokoa maisha ya mwanae baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya kule.
Pia...
Hizi ni taarifa za kipelelezi zikihusisha pia mambo yaliyo jadiliwa katika mikutano ambayo TZ haikualikwa.
Jambo jingine ni baada ya kugundua kuwa uhai wa jumuiya hii unayumba kutokana na utawala wa magamba ambao mipango mingi ya jumuiya haitimizwi kutokana na ubinafsi pasipo uzalendo
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.