Search results

  1. Chaimaharage

    Tujikumbushe makala hii: Tabia za Wanasiasa toka mkoani Kigoma

    Nakumbuka Mkapa wakati wa kampeni za kuwania urais awamu yake ya kwanza alibezwa na wana kigoma na kumwagiwa mchanga katika mikutano yake. Matokeo yake mpaka anatoka madarakani hakuwafanyia chochote cha maana kama malipizi. Tukirudi nyuma Nyerere naye aliwatelekeza pengine sababu ya tabia...
  2. Chaimaharage

    Pendekezo: Intelijesia ya CHADEMA iongezewe mshahara mara 3 zaidi.

    Yaani inazidi TISS. Tukikomboa nchi tutachagua TISS mpya hii iliyopo imeoza na inanuka rushwa na mauaji. Ndio maana wako busy kuhakikisha magamba wanabakia madarakani ili wazidi kugawana rasilimali za nchi.
  3. Chaimaharage

    Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    Ina shangaza sana na mengi mapya yataibuka. Sasa sijui fungu atapewa sababu kazi aliyo tumwa hakuimaliza..
  4. Chaimaharage

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    nakubaliana nawe 100% hebu watu fuatilieni historia kama alivyo sema mkuu hapo juu. Kumbukeni pia yaliyo mkuta Kafulila. Alipo timuliwa CDM na kwenda NCCR alianza mbinu za kumng'oa Mbatia kama hivi hivi alivyo fanya Zitto lakini aliangukia pua na kuomba msamaha. Hivi hawa wana kigoma msipo kuwa...
  5. Chaimaharage

    Magamba mnalooo..Zitto wenu chaliiii..

    Ndo maana yake..Huku tuliko ni shangwe sababu huyu mtu ni kama vile alicheleweshwa..Lakini wadau kama mna kumbukumbu ya matukio mnakumbuka kipindi wabunge wa CDM walivyo piga kura ya kutokuwa na imani na jamaa huyu?
  6. Chaimaharage

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Zitto kung'olewa kwangu imekuwa ahueni sababu nilijua pamoja na harakati zote za ukombozi bado kulikuwa na kirusi Zitto ambaye amekuwa na tuhuma nyingi zilizo hatarisha uhai wa chama. Nilikuwa najiuliza pia kwa nini akina wasira walisema kabla ya 2015 CDM itakuwa imekufa? Kumbe mkakati mzima...
  7. Chaimaharage

    Wanakigoma tunakusubiri mbunge wetu ZZK utuambie chakuifanya CHADEMA na unafiki wake

    Watu kigoma ni wanafiki sana na wana historia ya usaliti. Hebu tukumbuke Kaburu alivyo kuwa maarufu na ghafla akakisaliti chama kwa kurubuniwa na magamba...hata Zitto naye nilijua ni njia hiyo hiyo. Ila ninacho jua umaskini wa watu wa kigoma ndio unawafanya wawe wepesi kurubuniwa na vijisenti...
  8. Chaimaharage

    President Museveni;"It is not a coalition of the willing but rather a northern corridor"

    He was responding to a question posed by one journalist who wanted to know why Tanzania is sidelined in the on going meetings of the four states that is Kenya, Uganda, Rwanda and South Sudan. But he made one point that is they are doing that for the benefits of their citizens. No matter how much...
  9. Chaimaharage

    Kwanini Zitto anashambuliwa kwa kufuatilia matumizi ya fedha za umma?

    Baada ya kujua fika CDM iko safi kuhusiana na ukaguzi fedha za ruzuku akailipua issue na kujifanya hayuko upande wowote. Wasiojua wakaanza kumbwatukia wasijue haiwezekani naibu katibu mkuu wa chama asijue lolote kuhusu ushahidi wa nyaraka CDM walizotoa baada ya suala hili kulipuliwa.
  10. Chaimaharage

    Afrobarometer: Janga la ustawi wa taifa letu

    Nyambafu..tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli..mnataka kauli za "uchumi unakua", "ahadi zina tekelezeka" n.k Ninyi ndo mnampoteza dhaifu matokeo yake anaishia na kauli za "nimeambiwa,nimejulishwa" pasipo kuchanganya na zake kama alivyo wadhihaki wafanya kazi kipindi fulani walipotaka kugoma kwa...
  11. Chaimaharage

    Utafiti: Wasio na elimu waongoza kumpenda Rais Jakaya Kikwete

    Hili ndilo jukwaa la great thinkers! Yaani Jukwaa hili limepoteza thamani kabisa kwa kuwa na wachangiaji wa aina hii. Hebu jiulize mtu msomi unaingia jukwaani kupata mawazo mbadala na yenye challenges halafu unakutana na kichwa kama hiki. Nadhani kuna haja ya kuanzishwa jukwaa lingine ambalo...
  12. Chaimaharage

    Picha New York: Amani ndiyo mtaji wetu mkubwa- Mh.JOHN SAMUEL MALECELEA

    Magamba kama kawaida yao ni misosi tu! Hebu onyesha picha hata moja ya Dr.Slaa katika ziara yake Marekani ambapo alikuwa akipiga misosi kama hao jamaa hapo! Na aliongea na wanazuoni na viongozi wa serikali na kutoa "The speech of life time" Na pia acheni kuwatisha wananchi ili muendelee...
  13. Chaimaharage

    We are busy with politics & ridicule but now there is this "Mombasa - Kigali super highway likely"

    · The proposed road is expected to have a six-10 lane road, and construction is scheduled to start in 2016. · The superhighway will have no weighbridges or roadblocks. · As the cost of doing business in the region drops, intra-EAC trade, which currently stands at...
  14. Chaimaharage

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Waache wajigambe kwa kuendekeza siasa na chuki dhidi ya amajirani ni wazi kuwa mwisho wa siku tutabaki peke yetu. Bandari ya Bagamoyo jamaa hawezi kuiacha sababu ni moja ya zawadi aliyo wapatia wachina kama asante ya kuokoa maisha ya mwanae baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya kule. Pia...
  15. Chaimaharage

    Nchi wanachama East Africa walio jitenga kusaidia upinzani TZ dhidi ya magamba

    Hizi ni taarifa za kipelelezi zikihusisha pia mambo yaliyo jadiliwa katika mikutano ambayo TZ haikualikwa. Jambo jingine ni baada ya kugundua kuwa uhai wa jumuiya hii unayumba kutokana na utawala wa magamba ambao mipango mingi ya jumuiya haitimizwi kutokana na ubinafsi pasipo uzalendo Mfano...
  16. Chaimaharage

    JK jijengee heshima kwa kutengeneza katiba ya watu..huna cha kupoteza wapuuzie CCM!

    Ni wazi kabisa wenzio CCM hawaitaki katiba mpya mchakato ambao uliuridhia. Waliamua kukuunga mkono kama mwenyekiti wao lakini mioyoni mwao hawaitaki kabisa kwa sababu wanajua katiba mpya ambayo itakuwa katiba ya watu ikimaanisha ushirikishwaji wao bila ubaguzi na kushirikisha mawazo yao itakuwa...
  17. Chaimaharage

    Polisi yapiga marufuku maandamo ya kupinga kukamatwa sheikh Ponda kesho

    I got an info through my close friend that thisday after Friday prayers there is going to demonstrations regarding the issue of Sheikh Ponda. So beware not to be caught in cross fire...You know sometimes the guys shoot indscriminately..
  18. Chaimaharage

    Tamko la Lipumba kuhusu katiba mpya ni ishara ya kukata tamaa 2015

    Prof.amedai bora uchaguzi 2015 ufanyike bila katiba mpya ili tuipate baada ya hapo. Ni wazi ameona kuwa ikipatikana katiba hiyo kabla ya 2015 nafasi ya CUF ni ndogo mno kushinda uraisi. Na pia hata waume zao(magamba) uwezekano wa kuendelea kutawala haupo, hivyo basi kwa kuwa yeye binafsi...
  19. Chaimaharage

    MAKALA: Kwanini Rais anyamazie siri hizi kuhusu dawa za kulevya?

    Hujui kuwa Ritz 1 naye ni Pusher?
  20. Chaimaharage

    Hivi wabongo tuna uchumi gani imara wa kutuwezesha kupigana vita?

    Ni muda sasa watu wamekuwa wakishabikia kuwapiga wanao onekana ni maadui wa nchi hii ambao ni Rwanda na Malawi. Lakini je,mnadhani vita ni kupeleka majeshi tu? Ndiyo vikosi imara na shupavu tunavyo lakini je uchumi wa kipigana vita hadi tukashinda tunao? Na je, iwapo wananchi tukiambiwa tukatwe...
Back
Top Bottom