Recent content by CHAI CHUNGU

  1. CHAI CHUNGU

    Men are cruel to single women

    The more humiliation you suffer, the more you used to it!!
  2. CHAI CHUNGU

    Orodha ya Mataifa fisadi zaidi Africa Mashariki

    Monduli haimo why???
  3. CHAI CHUNGU

    Nyumba hii imenivutia sana kwa kweli.....!

    Hilo jumba lipo bondeni wakuu (Johannesburg) kitongoji chaBryston.
  4. CHAI CHUNGU

    Nyumba hii imenivutia sana kwa kweli.....!

    Hilo jumba lipo bondeni wakuu (Johannesburg) kitongoji cha Bryston.
  5. CHAI CHUNGU

    Duh! Kumbe Nyoka anazaa watoto wengi namna hii

    Huyo ni GABOON VIPER, ni kundi la BITIS na sifa yao ni kuzaa. Na huwa kwa pea (70-120/2hds) Huyo ni BITIS GABONICA, pia kuna BITIS ERIETANS, BITIS NASCONIS na wengine wengi.
  6. CHAI CHUNGU

    Duh! Kumbe Nyoka anazaa watoto wengi namna hii

    Huyo ni GABOON VIPER, ni kundi la BITIS na sifa yao ni kuzaa. Na huwa kwa pea (70-120/2hds) Huyo ni BITIS GABONICA, pia kuna BITIS ERIETANS, BITIS NASCONIS na wengine wengi.
  7. CHAI CHUNGU

    JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

    Kama sikosei niliwahi kuona uzi humu wa member aliyefanana na ID hii Malaria Sugu kwamba amefariki, but mtanisahihisha if im wrong.
  8. CHAI CHUNGU

    JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

    Inafurahisha sana kuona kwamba kuna watu wanakukumbuka kwa mazuri. I believe JF ni familia moja so ni nzuri kuulizana juu ya wenzetu waliopotea hapa mjengoni. Mkuu Mr Q mimi nipo naendelea na ujenzi wa taifa. Mh mungu akupe moyo wa upendo daima.
  9. CHAI CHUNGU

    Wenye vipaji vya kuigiza na kutunga movie tukutane hapa

    KUMBE MCHUMBA WANGU ANA UKIMWI?!!! Nipo ndani ya bus la Mtei nikielekea jijini Arusha,pembeni kuna binti mrembo sana shombe shombe wa Kizungu,baada ya kupiga nae story kwa muda kidogo nikabaini ni Msauzi Africa.Ni binti mrembo zaidi ya mrembo, nywele zake ndefu kazitelekeza mgongoni...
  10. CHAI CHUNGU

    Nina gari Noah, kibiashara nifanyeje?

    Nadhani kwa mbeya Dar/Dar-mbaya kwa jioni ni biashara nzr. Binafsi huwa natumia sana usafiri huo niwapo Tz.
  11. CHAI CHUNGU

    Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

    Wapo Wabongo wanafanya biashara ya kubadirisha fedha stend. Note, kingereza siyo sana kiviiiile. Wanaozungumza kingereza ni wale walio enda Shule tu.
  12. CHAI CHUNGU

    Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

    Ahaa kumbe, au nimeifananisha na Zesco!!!
Back
Top Bottom