Recent content by Carina

  1. Carina

    Zipi ni condom nzuri?

    Wadau naomba kujua ni kondomu zipi nzuri kwa tendo, yaani zile ambazo haziumizi na ambazo ukivaa na kufanya tendo kama vile unakula kavukavu. Ni zipi hizoo? Msaada plzzzz
  2. Carina

    Naomba Orodha ya Vitabu vyote vya Willy Gamba.

    Kikosi cha kisasi aiseee bongeee moja la moviee we achaa tu. Hata hvyo vingine vikali sana ila Kikosi cha Kisasi daaaaaaah acha kabisaa
  3. Carina

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    No Challenge ndio TASHRIFF ya sasa
  4. Carina

    Kumiliki ardhi

    Assnteni sana ssna kwa ushaurii nitaufanyia kazi
  5. Carina

    Kumiliki ardhi

    Wakubwa, Msaada kidogo, Ninataka kununua tu eneo ambalo mtu ananiuzia, ninataka kujua nitahakikisha vipi kama hapa sipigwi na pia kujua kwamba hili eneo ana miliki kihalali. Eneo lenyewe lipo Kibaha Ni vitu gani hasa vya kufanya kuhakikisha hapa kwamba sipigwi nanunua kihalali Naombeni...
  6. Carina

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Bora hata huko. Sisi huku Makabe hata miundombinu hamna
  7. Carina

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Dk mi nafikiri pia kuna madk ambao hawana ushauri mzuri pindi tu wakikupima na kuona kuwa pressure iko juu basi wanakuanzishia dawa hapo hapo. Yaan hawakupi labda chansi ya kuweza kuregulate pressure kwa muda. Mm ni muhanga ninatumia dawa nadhan mwaka wa 5 huu ila ninataka kuacha lakin naona...
  8. Carina

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Pia kuna makuchu balaaaa yaan ni hatareee
  9. Carina

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Hivi Hood imepotea siku hizi??
  10. Carina

    Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

    Mpaka leo hasikiki Fredwaa
  11. Carina

    Kumbukumbu za uhakiki wa milki

    Wadau swalamaaa, naomben msaada kidogoo, kuna hii fomu ya manispaa ya Kinondoni ya kumbukumbu ya uhakiki wa milki, kuna sehem ambazo nimeshindwa kujua nijaze nini, sehemu hizo ni ile ya Tarehe, muda na mipaka ya eneo (kama kwenye fomu niliyoambatanisha hapa). Kwenye tarehe naweka tarehe ipi...
  12. Carina

    Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

    Ahaa okeeey Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Carina

    Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

    Sijamsikia kama wiki 2 hivi .. sijui ameenda wapi .... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Carina

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    maxime, Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa sawa mkuu nimekusoma, mimi natafuta album yao moja hivi nafikiri ilitoka mwaka 1998 labda mpaka 2001 hivi sikumbuki jina vizuri ila kuna wimbo mmoja naukumbuka unaitwa "Ainuliwe Mungu wetu leo .... ainuliwe bwana wa mabwana". Na Jackson Benty kwenye album...
Back
Top Bottom