Recent content by card78

  1. card78

    Kagera: Paul Makonda ampa miezi 3 Waziri wa TAMISEMI kuhakikisha soko na stendi vinaanza kujengwa Bukoba

    Yuko vizuri kwa nafasi yake🤔, ila uongozi kwa sasa hivi n maslahi binafsi tuu shida yangu mm hakuna mtatuzi
  2. card78

    Hawa vijana wanaovimba mtandaoni kwa maburungutu ya milioni 40 ni washamba wa pesa, Ili uvimbe kama don walau uringishie milioni 200

    Hela haifichiki, yaani unaweza pata hela ukaonekana mbaya na ukaonekana mnzuri🤔 Kwa suala la hela ni mtizamo wa walio pemben yako mwenye hela
  3. card78

    Wasimamizi wa namna hii sijawahi kuwaelewa wanachokifanya

    uzuri Mwl halipwi mshahara, ni mtu wa kujitolea(wito)
  4. card78

    Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

    Hesabu ya kipato chako ndiyo itakayo amua,, ujenge au upange
  5. card78

    Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

    Haya mataifa mawili yanapigana juu ya ardhi(makazi), watazamaji tunaangalia udini🤔
  6. card78

    Elimu sio akili

    Habari wana jukwaa naamini mko poa🤔 Nimpongeze sana Mh Raisi na wasaidizi wake ngazi zote katika kujenga nchi yetu🇹🇿 Kauli ya Waziri wa elimu juu ya mustakabali wa ajira za walimu zitakavyokuwa imenifanya niwaze mambo mengi sana 1)Kudharauliwa kwa kada ya ualimu ikiwa kivuli cha kuboresha...
  7. card78

    Magari 200 ya Mahindi yaagizwa kuuza mahindi Tanzania

    Uzuri wakenya wako makin na suala la chakula, vipimo vinasaidia
  8. card78

    Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

    Nasikitika sana na kuumia ndani ya nafsi yangu nikitafakari juu ya ufalme wa mbingu na mienendo ambayo sisi wanadamu tunaenenda🤔 Dhana ya kujiona na kujihesabia haki inaondoa sana utukufu wa Mungu
  9. card78

    Napendekeza bidhaa zipigwe kodi mara moja tu, njia ni hii

    Uzuri wa sheria ya mapato iko wazi kwa wakwepa kodi, atawajibishwa kwa mujibu wa sheria zetu za kodi
  10. card78

    TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

    Hivi idad ya walimu 2015-2021 kwa Tanzania walio nje ya ajira ya serikali wanafika 50000?
  11. card78

    Nakopaje pesa kupitia Aquas Zero?

    Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero? Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka kwenye firm
  12. card78

    Umalaya na Umasikini ni kulwa na doto

    Kwa haya yote naona wazi kipato na nguvu zetu vijana zinavyoteketea🤔, mlolongo wa majukumu kutoka kwetu tuu na sio kwa mwanamke imekuwa ishu ya kutuchosha kiuchumi, nikiwaza nn napata kutoka kwa mdada kama faida kikubwa ni mapenzi (tendo) tuu na sio kingine
  13. card78

    Msaada kuhusu bachelor ya (ADMAN) Udom

    Msaada kwa mwenye uelewa juu ya Faculty ya Bach of education in administration and management katika chuo cha UDOM
  14. card78

    Tuzo katika elimu

    Napongeza sana utoaji wa tuzo katika elimu haswa kwa wale wanaofanya vizuri pamoja na walimu wao👍 Ila sijaelewa vigezo katika tuzo ya msimamizi bora wa mtihani🤔 Nn kinazingatiwa katika utoaji wa hizo tuzo?
Back
Top Bottom