Recent content by calory

  1. calory

    Wife kanijia juu baada ya kumgegeda mdogo wake na housegal

    Ume andika uongo, story ya kujitungia hiyo. maelezo yako yanaonyesha una danganya.
  2. calory

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Bao la mkono hilo. Watu wa mwanza wanataka mabadiliko na uhakika walimpa Lowasa kura za kutosha.
  3. calory

    Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Fungua na wewe kituo chako cha TV urushe matangazo yako kwa media ethics unazo ina zina faa. Tunafuatilia uchaguzi huu muhimu kupitia ITV na ndiyo inayorusha matangazo ya uhakika na ina angaliwa na watu wengi. Katoe malakamiko kweny television ya taifa maana wao cjaona kitu.
  4. calory

    Soma HII -Ubakaji uliohalalishwa kufanyika mbele ya Mashuhuda

    BAKAJI ULIOHALALISHWA HUFANYIKA MBELE YA MASHUHUDA Bi. Arodia Gebasaki ambaye ni mjane akisimulia jinsi mila ya kutakasa wajane inavyofanyika kwa mwandishi wa makala haya (hayupo pichani) ambapo yeye alikataa kufanyiwa mila hiyo na hakuna madhara yoyote aliyopata tangu kufiwa na mume wake...
  5. calory

    Makerere University Closed

    Makerere University, Uganda's prime public University has on Wednesday closed indefinitely following a fallout between staff and administration over salaries. The decision to close the institution was announced by the university Council Chairman Dr Charles...
  6. calory

    Kilimanjaro:Watumia mifuko ya Rambo kujikinga na UKIMWI

    KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wananchi mkoani Ki l ima n j a r o , wamelazimika kutumia mifuko ya plastiki (malboro) kujikinga na maambukizo ya ugonjwa wa Ukimwi, huku wengine wakichangia kondomu, jambo ambalo ni hatari na linaelezewa kuwa moja ya chanzo cha ongezeko la maambukizo...
  7. calory

    Sitta: Ageuka Jiwe (Amebadili kauli yake Wabunge viti maalumu)

    WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amebadili kauli yake ya awali, kwamba katiba mpya iondoe viti maalumu kwa kuwa wabunge wa viti maalumu hawana umuhimu wowote. Kauli hiyo ambayo aliitolea Busega mkoani Simiyu, na kunukuliwa na vyombo kadhaa vya habari, imekuwa...
  8. calory

    Picha: Kipanya Leo

    Tafakari chukua hatua.
  9. calory

    Makinda: Kamati za kudumu za Bunge acheni kupokea Bahasha ama Rushwa

    Bagamoyo. Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa mara ya kwanza amezishukia hadharani Kamati zote za Kudumu za Bunge na kuzitaka kufanya kazi zake kwa uadilifu na kuacha kupokea bahasha ama rushwa. Amesisitiza kwamba kama wabunge watashindwa kuwa waadilifu na...
  10. calory

    Je kodi ya Sembe inaenda TRA au CCM?

    Sinto faham ya wapi walipo vigogo wauza unga na nani anaye walinda na kuficha ukweli kuhusu uingizaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya, unaleta mashaka katika serikali yetu ya CCM, kwanini hao wahusika kila mtu anasema hawajui?? hili lina tufanya tuamini kua serikali ina husika kuchukua...
  11. calory

    Katto: Siwajui vigogo wauza Unga

    WAKATI Rais Jakaya Kikwete akidaiwa kukalia orodha ya mtandao wa vigogo wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya, Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege nchini, Deusdedit Katto, amewataka wanaowafahamu watuhumiwa hao watoe taarifa. Katika mazungumzo yake na kituo cha televisheni cha...
  12. calory

    Mahabusu wataka Jaji asikilize kesi kwenye karandinga Arusha

    Arusha. Mahabusu zaidi 60 wanaoshikiliwa katika Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, eneo la Kisongo, nje kidogo ya Arusha, jana waligoma kushuka kutoka kwenye basi la Magereza lililowapeleka mahakamani na hivyo kukwamisha kesi zao zilizopangwa kusikilizwa au kutajwa...
  13. calory

    Jambazi sugu la ATM kutoka Bulgaria lanaswa Dar

    Msako wa wezi wa kwenye Mashine za Kutolea Fedha (ATM), umeanza kuzaa matunda baada ya raia wa Bulgaria kukamatwa akiiba kwenye ATM ya Bank of Africa (BOA), Tawi la Afrikana, Kinondoni, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa za benki, mtuhumiwa huyo ambaye...
  14. calory

    Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    Moshi. Mfanyabiashara tajiri wa Mirerani na Jijini Arusha, Erasto Msuya, ameuawa kwa kupigwa risasi zaidi ya 20 kwa kutumia bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG), jana mchana. Erasto anayemiliki vitega uchumi kadhaa na anayeaminika kuwa miongoni mwa...
  15. calory

    CHADEMA kutoa machozi ya damu kustaafu kwa Tendwa; sasa hakuna tena kubebwa bebwa!

    WE NI --------, KAJIPANGE UPYA NA HOJA ZAKO. UMETUMWA UANDIKE? Una undugu na Tendwa au CCM? UNAONGEA VITU VISIVYOKUA NA MASHIKO. YAWEZEKANA ATA ICHO KINGAMUZI ULICHO INGILIA JF UMEAZIMA.
Back
Top Bottom