Recent content by buzitata

  1. buzitata

    Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Kuna siku nilikua naelekea kimara nikiwa kwenye mwendo Kasi. Nilibahatika kukaa siti Moja na dada mmoja mrembo sana nikajisemea hii kitu lazima nishuke nayo kituo chochote... Aliposhuka na mm nikashuka Ili nikamilishe mchakato wangu wa kibabe maana mule kwenye gari naona camera zote zilikua...
  2. buzitata

    Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Kuna siku nilikua naelekea kimara nikiwa kwenye mwendo Kasi. Nilibahatika kukaa siti Moja na dada mmoja mrembo sana nikajisemea hii kitu lazima nishuke nayo kituo chochote... Aliposhuka na mm nikashuka Ili nikamilishe mchakato wangu wa kibabe maana mule kwenye gari naona camera zote zilikua...
  3. buzitata

    Christina ni Mwanamke Shujaa, apongezwe

    Siku Mzee shusho akiamua kumwaga mboga Nina uhakika vijana wa kataa ndoa watajizolea wafuasi wengi sana itakua ni zaidi ya mafuliko ya lowasa Tuendelee kumuombea Mzee shusho asiseme kitu Ili kuokoa ndoa tarajiwa
  4. buzitata

    Itakuaje Iran ikitumia kombora la Hypersonic?

    Kwaiyo mkuu ulitaka hamas wakae sehem za wazi?
  5. buzitata

    Rafiki yangu anaumwa Fungus toka miaka mitatu iliyopita

    Anyway abadilishe taulo, achukue lile la pamba linalonyonya maji vizuri, awe analifua na kulikausha vizuri juani, Last Kama yupo dar mwambie awe anaenda beach na kujitahid kuogelea japo nusu saa tu, akifanya hivyo mfululizo itakua vizuri Zaid Mungu akimjaalia kupona mwambie asinisahau hata...
  6. buzitata

    Mwanaume ulie wahi kua na mpenzi, au mke zaidi ya mmoja pita hapa mnipe busara zenu.

    Nao Naomba pm hizo tabia za mkeo Kuna kitu naweza kukushauri maana nimetoka kwenye huo mtifuano mwaka jana
  7. buzitata

    Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

    Sijui kama itakusaidia,,, niliwahi kuteleza Kwa limalaya limoja bila kujua yule mwanamke ni kimbulu,, nadhani baada ya siku Moja nilitokewa na hivyo vipele......niliweka dawa ya fangasi(powder) ikawa Kwisha habari yake na ugonjwa ukatoweka sijawahi kuushuhudia Tena. Nb. Hiyo njia siwez sema...
  8. buzitata

    Natafuta mchumba/ mwenza

    Chukua contact zangu hata Mimi nataka mwenye sifa kama hizo
  9. buzitata

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Kwaiyo unataka kunambia wote wanaotembea na wanawake ni kwasababu hawajaoa sio? Ndoa zinachangamoto nyingi ukimuona mwanaume anatoka nje ukae chini ujiulize mara mbili mbili japo wapo wanaochepuka Kwa tamaa zao tu Ila wengine Kuna mambo yanayowasukuma kufanya hivyo Ili Kulinda afya ya moyo...
  10. buzitata

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Mkuu haya mambo ni experience,,ukizoea kuwapima mambo mengi unajifunza kwenye hivyo vipimo. Mm kipimo kabla hakijachora mistar miwili tayar najua kwamba hii Ngoma imewaka, Kila kitu ni uzoefu na matumizi ya mara Kwa mara
  11. buzitata

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Hivyo vipimo vinasaidia sana ni vile tu watu hawana misimamo.. mwanamke kama hataki kupima achana naye kwasababu huyo haushindi naye muda wote so hujui amepitia mangapi. Mimi mpaka Leo hii Nina Zaid ya wanawake wanne ambao nimeshuhudia kwenye vipimo wakiwa hawako vizuri na kabla ya kupima...
  12. buzitata

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Ebu mpige picha tuone anavyohaha saiv. Niliwah kuwa na mahusiano na mdada anayafakaz kwenye hicho chuo, Kila siku nilikua namfata stand na kumpeleka kwake ila nilikua siingii ndani... Kuna siku alinishawishi sana nilale kwake japo nilikubali ila visingizio nilitoa vya kutosha but ikashindikana...
  13. buzitata

    Kurudisha uwezo wako wa tendo la ndoa

    Endelea kujipa moyo hayo mambo ndo yanayowafanya watu wajihisi hawawez kumbe hata wewe unayesema ivo inawezekana dakika tano unatoboa Kwa mbinde sana
  14. buzitata

    Kurudisha uwezo wako wa tendo la ndoa

    Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo Tatizo lilianzia pale ambapo tulijiona tunawahi kufika mwisho kabla ya wapenzi wetu jambo ambalo lilitufanya tuombe ushauri Kwa...
  15. buzitata

    Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?

    Hii mada nimeiona Twitter kitambo sana...yawezekana hapa imewah kujadiliwa ila hii system ya kufuta nyuzi yawezekana ndio inayosababisha tupate habar zilizopitwa na wakati
Back
Top Bottom