Recent content by Burungutu lebba

  1. Burungutu lebba

    Naomba kujuzwa maswali yanayoulizwa kwenye Interview ya Tutorial Assistant

    Kuwa compitent tu kwenye kozi unayoomba kufundisha..pia kwa ziada uwe vizuri hapa kwa psychology..teaching methodologies... na kujiamini tuu..aanza kugoogle kama umesahau sahau..na maswali yanaongezeka au kupungua kadri na namna unavyojibu..
  2. Burungutu lebba

    Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Swali zuri naniibu zuri pia..yani nmepata majibu japa
  3. Burungutu lebba

    Kufuta deni Instagram

    🙄 watu mnakopa hafi instagram...binafsi ndio nimeijua leo..nadhani itakua ma avount ya natangaxo
  4. Burungutu lebba

    Tupia kikosi chako bora cha muda wote duniani

    Van desar Cafu Roberto carlos Maldin Cannavaro Xavi Iniesta Ronaldinho Messi Ronaldo Cristian ronaldo
  5. Burungutu lebba

    Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

    Tumsaidie huyu anataka kutaga 🤣
  6. Burungutu lebba

    TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

    2015 pekee udom walihitimu walimu elfu tatu..maanake kwa makadirio tu kuna walimu elfu 24 wa udom tuu... probably kuna walimu zaidi ya laki moja na nusu wahitimu wa vyuo vyote nchini mpaka sasa..wastani wa ajira za walimu kila mwaka ni elfu kumi tu hivyo since 2015 walimu wasiofika elfu 70...
  7. Burungutu lebba

    TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

    Swala la hela huko mimi sipo nlikupa taarifa tu kuwa nafasi hizi waombaji ni wengi ni ngumu kuwafanyia interview..kama sifa kila mtu anazo basi kuna mahali watapishana kidogo tu bigezo vya ziada ni siri yao inavyoonekana...sijaongea kwa hisia kwamba kuna upigaji huko nimeongeq uhalisia wa ugumu...
  8. Burungutu lebba

    TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

    Inetrview ya namna gani kuna graduates kama laki nane na zaidi wameapply utawafanyia interview ipi wote hao
  9. Burungutu lebba

    Kuna haja gani ya kuendelea kuwa Na rafiki wa namna hii?

    Kwanza pikipiki yako bado ipo mikono salama maana habari umeichanganya mko..huyo sio rafiki achane nae
  10. Burungutu lebba

    Nawezaje kuanzisha dini mpya? Naomba maoni

    We sema tu unatibu umaskini na kuleta utajiri..tafuta na sample mmoja awe maiti umfufue
  11. Burungutu lebba

    Walimu wa Shule ya Sekondari Ilala, kwanini mnauza notes kwa wanafunzi?

    Ubao ni wa kufundishia ni kama rough paper tu sio wa kuandikia notes..mwalimu una dk 45 mpaka 90 tu z kufundisha darasani muda wa kuaaandikia notes ukowapi...hiyo 200 inakushinda nini
  12. Burungutu lebba

    Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

    Nna 2.7 na sihangaiki nabahasha kuomba kazi..kuna wangapi mtaani wamenizidi mbaki na wanamabahasha every single day..sijifariji nimesema ukweli
  13. Burungutu lebba

    Mwalimu atelekeza kazi baada ya malipo ya mshahara wa Tsh 34,000 kwa mwezi

    Hiyo nusu mshahara ulipe mkopo wa bank na taasisi zingine za mikopo..anabaki na sh ngapi hapo..ni sahihi kubaki na hiyo
Back
Top Bottom