Recent content by Bunduki

  1. B

    Ananing'ata

    Muulize mkeo huwa anajisikiaje, raha au maumivu. Nadhani yuko ktk nafasi nzuri zaidi kuliko mtu mwingine
  2. B

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Watu waendelee kupambana kujiletea ustawi katika maisha badala ya kutafuta mchawi. Unajua kikwazo kikubwa kabisa cha maendeleo yako ni wewe mwenyewe. Ni ngumu kuelewa lakini ndio ukweli
  3. B

    BAKWATA: Hatuutambui waraka wa Waislamu

    Unajua kuna watu imani zimewapofusha macho kiasi kwamba hata mtu wa imani yake akizungumza ujinga wa namna gani yeye atamtetea tu na anaweza kwenda mbali hata kuwaponda wale wanaotoa hoja za maana. Kwa mfano Lipumba aliuponda sana waraka wa Wakatoliki bila hata kuuchambua lakini huyo huyo...
  4. B

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Ni kweli Zitto ana haki zote kama mwanachama kugombea nafasi yoyote ndani ya chama chake. Lakini kwa mtu mchunguzi atagundua jinsi Zitto amekuwa akihusika ktk matukio ya ajabu ajabu kwa siku za hivi karibuni kama vile kushabikia kununuliwa kwa mitambo ya Dowans na pia kuhusishwa kwake na Kikwete...
  5. B

    Mkutano wa spika Tabora

    Sitta sio hapendeki kiasi hicho lakini wananchi wamekusanyika kumpongeza kwa ujasiri wake wa kupambana na mafisadi, kwa hio watu wanapaswa kujua kuwa umati huo ni wa kupongeza na kumuunga mkono na sio kusikiliza atasema nini pekee
  6. B

    White girls are hottie

    Lets get the rate of divorce from each race then we'll know which girls are hottie
  7. B

    Mh R Mengi yupo tz?

    Eddy, mimi sijasema yuko kimya kwa kufuata ushauri wa wazee, ila nimesema serikali ilitoa amri ya kusitishwa kwa malumbano mara moja baina ya RA na Mengi. Mimi hoja yangu ni kwenye ufisadi, Watanzania wengi tuko nyuma ya yeyote yule anayepigania mustakabali mwema wa nchi yetu. Na sidhani kama...
  8. B

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Tatizo sio waraka kuwa na baraka za akina Pengo, suala muhimu je kuna udini? Kiongozi wa dini asiyeipigania jamii anamofanyia kazi dhidi ya ufisadi, rushwa, uonevu, na unyanyasaji huyo ni mwoga na mnafiki! Wakatoliki hawajalazimishwa waraka uingizwe kwenye katiba au utumike serikalini, wao...
  9. B

    Mh R Mengi yupo tz?

    Kwani umesahau serikali ilitaka malumbano baina ya hawa wafanyabiashara kusitishwa mara moja? Unataka apingane na serikali? Kikubwa ni kuwa Watanzania wengi tuko nyuma yake, na nafasi yake katika historia ya nchi hii dhidi ya mafisadi inajipambanua wazi. Ushauri wangu Watanzania tusipende...
  10. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Nyie dhambi ya ubaguzi itawala mpaka mwisho wa dunia. Hamjui kujenga hoja ila kulazimisha tu. Haki ni nini?
  11. B

    Hivi mwanamke kuwa na nyumba ndogo ni dhambi?

    Kwa nini unauliza jibu? Nadhani wewe unastahili kuelezwa maana ya neno dhambi. Dhambi, ni uasi, ni tendo lililo kinyume na maadili au linaloasi sheria ya Kimungu (divine law) Na katika sheria ya Kimungu, kuna mke na mume tu, the rest ni kujinyima upepo. Labda ungetumia neno ni halali au sio...
  12. B

    Bakora Zatembea Kwa Wanawake Wanaovaa Suruali nchini Sudan

    Wanawake wanapaswa kuvaa mavazi ya heshima, lakini hayo ya kupangiwa na kupigwa bakora, hayafai katika zama hizi
  13. B

    Nani chokochoko baraza la wakilishi la zanzibar?!

    Heshima kwako mkuu!!!!!!
  14. B

    Nani chokochoko baraza la wakilishi la zanzibar?!

    Nani kakuambia wazanzibari "hawautaki" muungano? Na una ushahidi gani kwamba watanganyika wanalazimisha muungano? Matatizo ni sehemu ya kila mtu na kila jamii na kila muungano, kwa hiyo kama issue ni kero ziko kila upande. Kama ni kweli wazanzibari hawautaki muungano wao waseme hapo ndio...
Back
Top Bottom