Recent content by BOROYOUNG

  1. B

    Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

    Sinza watu hawalali muda wote.ni sehemu ambayo ina bar, pub na guest house kuliko sehemu yoyote hapa Dar. Unategemea nini hapo wakuu
  2. B

    Najuta: nilioa mke kwa kuvutiwa sura na umbo lake

    Mkuu kama amefikia hatua ya kutembea na rafiki zako hapo kuna shida kubwa sana sana.achana nae endelea na maisha yako bro.
  3. B

    Kila kubwa ina kubwa yake na kila ndogo ina ndogo yake

    Ni sawa sawa mdau.maana oooh vibamia vibamia.na hiyo mishimo yenu mbona aisemwi????????
  4. B

    Wanandoa na extended family

    Krenea your right.kwenye ndoa nyingi wanawake ni wabinafsi sana sana.wanapenda na kufurahi wakija ndugu zake.lakini wakija wa mume ni matatizo.badilikeni wake zetu
  5. B

    Huyu dada alimkataa rafiki yangu kwa sasa anamtaka mapenzi

    Mueleze ukweli huyo dada.ameshayakosea tayari maisha
  6. B

    "Bora msagaji kuliko mume wangu"

    Ni kweli mkuu.wanawake ndio chanzo cha yote.ndani stress kwa kwenda mbele hakuna amani.
  7. B

    Diamond awajibu Team Wema

    Your right diamond
  8. B

    Kwa nini

    Wakuu mimi kuna kitu kinanishangaza sana this days.zamani kidogo kwenye tendo la ndoa na mpenzi wako,ni lazima au ilikuwa ni desturi ukishusha lazima akuwahi na kitambaa ili akusafidhe dushee.lakini siku hizi dada zetu hawana habari ukishamaliza ni wewe mwenye ndio uende toilet ukajisafishe.hii...
  9. B

    Naweza kupata mchepuko igo lodge?

    Wakuu kuna mzoefu yoyote wa pale igo lodge sinza mapambano.naweza kupata mchepuko wa maana kwelo? Naombeni msaada
  10. B

    Nitapataje SMS anazotumiwa mtu mwingine kwenye simu yangu?

    Usijaribu mkuu utakufa kwa pressure bure
  11. B

    Kwanini mume akimfumania mkewe anamuadhibu.mwamaume badala ya mkewe

    Wakuu mimi nina kitu kinanisumbua sana.hivi ni kwanini mtu akimfumania mkewe au girlfriend wake.ni fashion hivi sasa watu watamfanya vibaya yule mwanaume kama kumlawiti.kwa nini adhabu hii wasipate wote waliofumaniwa
  12. B

    Vicky Kamata ajisalimisha kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa iliyochafuka

    Kweli kabisa mkuu.uzuri wa nje ndani mchafu
Back
Top Bottom