Recent content by Bob1

  1. Bob1

    UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

    Tuache kupoteza muda kuzunguzi maneno ya mlevi mropokaji.kwanza alikua bar anatuma funds za walipa kodi kulew.Lakini nikawaida ya sisiemu kupitia heriziwani kuhonga viongozi wa vyuo ili waropoke kama Huyo mlevi
  2. Bob1

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Ngonjwa wewe hebu taja jina kamili na number yako ya kadi tukuangalie kama ulikuwa mwanachama shetani we
  3. Bob1

    Sasa nahama CCM

    Mshukuru mungu kukuonyesha alama za nyakati na kuacha kuunga mkono mafisadi
  4. Bob1

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Hawo jamaa sijui wakowangapi ?Hilo tamko wamesini wangapi?.Hawa ndowale badala ya kusoma wanakalia kuchukua (bum) Pesa za buru from tax payer.then mapenzi na kujaza vyoo.wafunge mdomo some
  5. Bob1

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    Jamani achaneni nae Huyo jamaa huyo ametumwa na moja wa chichiemu UK anakula kodi za watanzanita visa imenukaka. Amechanganyikiwa
  6. Bob1

    Marando got votes from CHADEMA, NCCR-M and few CCM MPs. CUF voted for a CCM candidate

    Wakuu mnashanganini CUF imeanza kujiunga na CCM kule Zanzibar hamjui kama aliyekua mgombea urasi wa CUF amakua makamo wa raisi so na huku bara kwenye Bunge la Jamuhuri anamaliza muungano wao CUF sio wapinzania tena there in collation government pole walewaliopigia kura CUF :A S angry:
  7. Bob1

    Mheshimiwa Rais Kikwete anaipenda Tanzania?

    No one show question if other fellow Tanzanias kama wanaipenda nchin au vipi.Just ask you self what you have done to the country that prove you love this country more than others. Kinachomsumbua Kikwete ni alikua na Mbinu ya kupambana kuwa President lakini hana vision on which direction he...
  8. Bob1

    Mkapa: Yote yanayosemwa juu yangu namuachia Mungu

    Yule ni mhalifu.Hakuna kiongozi duniani anayesifiwa kwa kujenge uwanja wa mpira.Kwanza uwanja wenyewe hasara tupi wachina wameingiza vifaa kibao karibu 60% ya vitu walivyoingiza nchini wakidanganya wanajengeea uwanja vinauzwa kariakoo wamekwepa kodi huku jamaa akikodoa machoa with his 10%...
  9. Bob1

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    mkuu unaweza kutuhakikishia ukweli wa habari yako.Kwanza kweli wa kufanyika kwa kikao hicho then Ukweli wa ajenda uliyoitaja kwamba ndio iliyoongelewa
  10. Bob1

    From Goatherd to Governor, Edwin Mtei's Autobiography

    waheshiwa lazima mjue tofauti ya kitabu ambacho mtu anandia kueleza view zake kisiasa (political views)na kitabua mtua anadika kueleza masha yake (Up bringing) msipamie tu na kutoa lawama manake ni sawa na mtu atakaye soma kitabu cha Mzee Kawawa na kusema mbona hajalaumu kufeli kwa serikali ya...
  11. Bob1

    Tunahitaji chama kipya?

    Tatizo sio vyama vya siasa.Hata kama tukiwa na vyama 10000000. Sio jibu la matatizo.Tatizo kubwa ni watanzania waliobweteka wakizani viongozi wa vyama watafanya kila kitu Ni jukumu la watanzania kichangi halia na maliakwenye vyama na sio kuaachi kiongozi fulamnia kutoa fedha zake kuchangia...
  12. Bob1

    Chadema Chama Cha kizazi kijacho!

    Wakukifanya chama kiwe imara sio viongozi peyao kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake Tumania umesema chadema ni chama cha watu wanne.Fikra hiyo tasa ndio inayoumiza upinzani na nchi jiulize kwanza ulisha wahi kwenda chadema kuchangia mawazo yako wakwakwambia ondoka au ulisha sikia...
  13. Bob1

    Wito kwa Salim Ahmed Salim - Mpinge Kikwete 2010

    Hakuna kitu mule kwanza tujiulize amefanya nini kwa africa alipokua mkuu huko african union and amefanya nini kwa tanzania kwa nafasi alizoshika.hakuna kitu. Jibu ni kuondoa kabisa ccm.kama mkono wa kushoto unaiba wakulia hauweku kuwatofauti jibu ni kukata
  14. Bob1

    Kikwete kainua uchumi wa Tanzania

    Kuna mambo mawili au zaidi lazima uyaangalie sio tu hizo statistic 1) Unaangalia kukua kwa uchumi kwa kulinganisha Tanzania na nchi zengine lazima uangalie kama hizo nchi zengine chumi zake zimekuaa pia au zilikua zime stop kukua na hata kama zimekuaa ni kwa rate gani? Mimi naamini hizo nchi...
  15. Bob1

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    nakubaliana na wewe Mimibaba. huwa kila wakuu wanapokosa issues yakusema wanapoishiwa mitazamo wanakimbia ukabila na kwahakika wanakuaa wanaondoa macho na akilizao katika kuaangalia jambo kwa mapaa zaidi.Manake wanataka kuniaambia wote (wajumbe) waliopiga kura walikua wanapiga kura katika...
Back
Top Bottom