Recent content by Bikirembwe63

  1. Bikirembwe63

    Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

    Kwani ni lazima kila mmoja kuwa na post humu.Unaweza kuwa msomaji tu.Thread hii haina mantiki yeyote.
  2. Bikirembwe63

    Waislamu Msikubali utapeli huu wa Kisiasa( Angalia Danganya toto iliowekwa ndani ya Rasimu ya CCM)

    Inavyoonekana wandugu zetu wakiristo hawajaelewa au wanapotosha kwa makusudi uwepo wa mahakama ya kadhi. Mahakama hiyo kwanza ni kwa ajili ya waislamu tu na kwa masual maalum kama ndoa na mirathi. Haihusu kesi za jinai hizo zitasikilizwa mahakama za serikali na hata hao waislamu wanaotaka hukumu...
  3. Bikirembwe63

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Kuna yeyote ana data za safari za marais waliopita yaani Nyerere, Mwinyi na Mkapa. Nia ni kuzilinganisha jumla safari za marais hao waliomtangulia na za Mr.Vasco da Gama. Nina wasiwasi kuwa za JK zitakuwa ni nyingi kuliko ujumla wa safari zote zilizofanywa na marais hao 3.
  4. Bikirembwe63

    Mh Kessy analipuka Bungeni

    Wakupumuliwa kisogoni ni wadanganyika kwani licha ya kuwa Kessy kasema ukweli lakini vile vile usipinge ukweli kuwa wazanzibari wengi hawautaki muungano na hilo hawalifichi, sisi ndugu zangu nyie munaoshangilia ukweli wa Kessy mbona hatuoni juhudi kama za wazanzibari za kutetea Tanganyika yenu...
  5. Bikirembwe63

    Chagua mpenzi kati ya hawa kuondoa upweke

    Namba 1 is best, lakini kama nilipata even 20% ya pesa ya EPA ningeangukia namba 4 kwani tunasema ukila nguruwe ule alononA
  6. Bikirembwe63

    Kazi za Mahoteli Zanzibar, Karibuni

    Aloandika Vlad ni kweli hakuna mishahara aliyoitaja mleta mada katika mahoteli ya Zanzibar.Ukweli ni kuwa kazi zipo lakini si kwa mishahara hiyo na kazi zinapatikana kwa sababu wenyeji wengi hawataki kufanya kazi za mahoteli kutokana na imani na utamaduni wao.
  7. Bikirembwe63

    Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

    Kwa nini upande mbegu paipokuwa na matumaini ya kuota mmea. Wacheni kuiga wasoamini Mungu.
  8. Bikirembwe63

    Stories za wachumba wa Jamiiforums

    Like this "uhusiano si ndoa ni kuridhishana"
  9. Bikirembwe63

    Popo Bawa wewe ulichonifanyia, sikubali

    Unauliza karafuu Pemba - kama hìi hadithi ni kweli, ni lazima huyu dada kaliwa 0713......
  10. Bikirembwe63

    CCM wapiga kampeni ya serikali mbili misikitini

    Hizi habari ni za kweli nimezisikia redioni katika habari za magazetini. Waje walewabishi wanaokana kuwa CCM wanapita hata sokoni (tukio la Kwerekwe Znz).Hili goma ni zito kwao watarubuni, watatia khofu wananchi na kutumia nguvu na karata yao ya mwisho ni kuchakachua katika kura ya maoni -...
  11. Bikirembwe63

    CCM Zanzibar wakusanya maoni ya Muungano kwa staili mpya

    Whatever thr source hizi habari mwanzo zilikuwa tetesi kama ilivyokuwa hii thread lakini sasa zimezagaa na kuna wananchi kibao wanaweza kudhithibitisha.
  12. Bikirembwe63

    CCM Zanzibar wakusanya maoni ya Muungano kwa staili mpya

    Swadakta Babou hujakosea.
  13. Bikirembwe63

    CCM Zanzibar wakusanya maoni ya Muungano kwa staili mpya

    Mkuu huyo ni mtu wa urojo huoni yuko Foro sasa hivi - ana kasumba zile zile anafikiri Serikali 3 zitamnyima hilo. Asiwe na shaka udugu na mshikamano utadumu chini ya Shirikisho.
  14. Bikirembwe63

    CCM Zanzibar wakusanya maoni ya Muungano kwa staili mpya

    Mkuu ni mfuasi wa jamaa niliyekueleza hapo juu nini? au ni mteja wake maana nasikia ana biashara anafanya isije ikawa unamkopa.
  15. Bikirembwe63

    CCM Zanzibar wakusanya maoni ya Muungano kwa staili mpya

    Kuwepo Zanzibar sio sababu ya kujua kila linalotokea. Nenda Kwerekwe kaulizie wale wafanyabiashara ndogondogo wapo hadi saa 4 usiku.Tokeo lenyewe limetokea leo jioni ya mapema wakati CCM wanaenda mkutanoni TAVETA meli nne. Kati ya waliokuwemo na kuongoza katika kuhoji ni yule yule Kinara wa...
Back
Top Bottom