Inavyoonekana wandugu zetu wakiristo hawajaelewa au wanapotosha kwa makusudi uwepo wa mahakama ya kadhi. Mahakama hiyo kwanza ni kwa ajili ya waislamu tu na kwa masual maalum kama ndoa na mirathi. Haihusu kesi za jinai hizo zitasikilizwa mahakama za serikali na hata hao waislamu wanaotaka hukumu...
Kuna yeyote ana data za safari za marais waliopita yaani Nyerere, Mwinyi na Mkapa. Nia ni kuzilinganisha jumla safari za marais hao waliomtangulia na za Mr.Vasco da Gama. Nina wasiwasi kuwa za JK zitakuwa ni nyingi kuliko ujumla wa safari zote zilizofanywa na marais hao 3.
Wakupumuliwa kisogoni ni wadanganyika kwani licha ya kuwa Kessy kasema ukweli lakini vile vile usipinge ukweli kuwa wazanzibari wengi hawautaki muungano na hilo hawalifichi, sisi ndugu zangu nyie munaoshangilia ukweli wa Kessy mbona hatuoni juhudi kama za wazanzibari za kutetea Tanganyika yenu...
Aloandika Vlad ni kweli hakuna mishahara aliyoitaja mleta mada katika mahoteli ya Zanzibar.Ukweli ni kuwa kazi zipo lakini si kwa mishahara hiyo na kazi zinapatikana kwa sababu wenyeji wengi hawataki kufanya kazi za mahoteli kutokana na imani na utamaduni wao.
Hizi habari ni za kweli nimezisikia redioni katika habari za magazetini. Waje walewabishi wanaokana kuwa CCM wanapita hata sokoni (tukio la Kwerekwe Znz).Hili goma ni zito kwao watarubuni, watatia khofu wananchi na kutumia nguvu na karata yao ya mwisho ni kuchakachua katika kura ya maoni -...
Whatever thr source hizi habari mwanzo zilikuwa tetesi kama ilivyokuwa hii thread lakini sasa zimezagaa na kuna wananchi kibao wanaweza kudhithibitisha.
Mkuu huyo ni mtu wa urojo huoni yuko Foro sasa hivi - ana kasumba zile zile anafikiri Serikali 3 zitamnyima hilo. Asiwe na shaka udugu na mshikamano utadumu chini ya Shirikisho.
Kuwepo Zanzibar sio sababu ya kujua kila linalotokea. Nenda Kwerekwe kaulizie wale wafanyabiashara ndogondogo wapo hadi saa 4 usiku.Tokeo lenyewe limetokea leo jioni ya mapema wakati CCM wanaenda mkutanoni TAVETA meli nne. Kati ya waliokuwemo na kuongoza katika kuhoji ni yule yule Kinara wa...
Katika hali ya kuchanganyikiwa leo CCM walipita katika soko la Mwanakwerekwe Z'bar na kuanza kuwauliza wafanyabiashara ndogo ndogo "unataka serikali ngapi?" wakipewa jibu ka Serikali 3 "huwauliza kukiwa na Serikali 3 jee hizi nyanya, vitunguu na viazi huku wanaita mbatata utavipata wapi?".
Ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.