Recent content by Big Man Kontawa

  1. B

    Gamondi hana maisha Yanga

    Mimi nafikiri yanga ingeweka nguvu zaidi Kwa mzize aaminiwe apewe nafasi apate uzoefu zaidi kuliko kuendelea kuleta watu kama Hawa kina guede, useless. Kocha aache kucheza na straika wawili haimsaidii kabisa. Mzize awe lone straika namba moja kwa mechi zote mjazie viungo na mawinga dogo...
  2. B

    Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

    Sio mpak kutongoza Yan siku hzi ukichukua namba tu baada ya salami utaambiwa alafu nna shida ya 20000 hapa naomba nitumie kwanza.
  3. B

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Mueleweshe vzuri Mzee, inawezekana yeye ameambiwa unafungua grocery watu watakaa wanakunywa pombe hapo ndomana anaakataa. Na kama fremu ipo kwenye makazi ya familia na biashara kama ya grocery kweli sio sawa. Ila kama wananunua na kwenda zao mueleweshe vzuri atakuelewa
  4. B

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Pole sana mkuu, ila kama umeshafanya jitihada zote za matibabu ya hospital imeshindikana jaribu sasa tiba lishe. Binafsi pia naamini sana kwenye tiba lishe afya ya mwili inakuwa determined sana na vitu tunavyokula.
  5. B

    Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

    Kuna redmi 13C imetoka juzi tu budget ya kawaida specifications bora. Nafikiria niichukue pia. Zinaanzia 269000/-
  6. B

    Noti za Tsh. 50000 na 100000

    Habari ndugu zangu. Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena. Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya nyumbani elfu kumi inakatika kwa vitu hata mkononi havijai. Mimi binafsi huwa najitahidi kununua...
  7. B

    Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Milioni 4! Mkuu msimange tu anastahili. Mimi nilipewa elfu 30 ndo mtaji huo lakini nilisimangwa mpaka nikajuta. Lakini nilijifunza kukomaa kivyangu vyangu vya kupewa vinalawama
  8. B

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Story nzuri, muandishi licha ya kutupa somo lakini unauza CV yako, natumai kupitia story yako hii utapata kazi hvi karibuni.
  9. B

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Ila wakuu tuwe serious kidogo, hzo USD 25000 Mimi kijana nnayemakemake ntaifikisha lini kwa mkupuo niweze kwende huko majuu! Ni kweli wote wanaoenda huko wanakua na hyo hela? Sitaki kubisha sababu sijawah kufika nikashuhudia lakin kiuhalisia hapana haiwezekani maisha yetu kibongobongo tunayajua...
  10. B

    Wakuu mnawezaje kutoboa

    Shukrani kwa mawazo positive mnayonipa
  11. B

    Wakuu mnawezaje kutoboa

    Hii naifanya sana lakin mara zote inakuja inafeli. Naishi kwa gharama za chini sana ile kuhakikisha familia inapata mahitaj ya msingi na sio hanasa. Kidogo nasave lakin saving hii haifiki popote inakuja kutumika yote pia sababu kuna kipindi unajikuta huna kitu kabisa familia haiwez kulala njaa...
  12. B

    Wakuu mnawezaje kutoboa

    miaka 27. Nikiwa kazini ni around laki tatu na nusu mpaka nne kutegemea na masaa ya ziada. Lakin ndo hvo sifanyi kwa mwaka mzima n miezi kadhaa tu
  13. B

    Wakuu mnawezaje kutoboa

    Huu wakat mpaka ufike ntakua nimechoka sana, naweka kila kitu kwenye nnchofanya lakini matokeo mazuri n kiduchu sana na wakat mwngne hakuna kabisa. Leo mpak nimeandika hapa inanilazimu niuze furniture chache za ndani ili nibust biashara iende na najua ntauza kwa hasara na kuja kuzipata tena sio...
  14. B

    Wakuu mnawezaje kutoboa

    Habarini za usiku, Siku za hvi karibuni nimekua nikijiuliza sana hili swali, hasa nnapoona watu wanaendesha maisha yao comfortable wakidrive magari, kumiliki majumba na mambo mengine kama hayo. Mimi n graduate wa 2019 nipo Morogoro lakin tangu nimehitimu kweli kabisa sijaenjoy haya maisha...
Back
Top Bottom